Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera mwamba nenda kapambanie goli.Hatimaye nategemea kuhudhuria usaili wangu wa kwanza katika harakati za kuondokana na u jobless.
Mungu akusaidie mkuu.Ni kujiamin na kujiandaa me nilitwa intv na International company ile hofu ya kwemda kupiga kimalikia nilisema siendi.ila kuna saut ndan inasema nenda aisee Mungu mkubwa.Hatimaye nategemea kuhudhuria usaili wangu wa kwanza katika harakati za kuondokana na u jobless.
Mkuu........ Umejuaje? Hapa Kuna roho nyingine inaniambia usiende tu hiyo nafasi Sio rahisi kupata kama huna connection... Lakini Kuna roho pia inanisukuma inasema nenda tu hata ukikosa utakuwa umepata uzoefu.Mungu akusaidie mkuu.Ni kujiamin na kujiandaa me nilitwa intv na International company ile hofu ya kwemda kupiga kimalikia nilisema siendi.ila kuna saut ndan inasema nenda aisee Mungu mkubwa.
Piga intv saa 2pm saa 5pm simu ya HR ananiambia usirud chuga kesho uje usain mkataba.
Mwamba nenda kapige usaili ukipambana unatoboa, hakuna cha connection kule ni uwezo wako wakujibu maswali yao, ukiyaotea unatoboa.Mkuu........ Umejuaje? Hapa Kuna roho nyingine inaniambia usiende tu hiyo nafasi Sio rahisi kupata kama huna connection... Lakini Kuna roho pia inanisukuma inasema nenda tu hata ukikosa utakuwa umepata uzoefu.
Naendaga na laki na ninatoboa.laki moja ina maana huli chakula kwa kipindi chote cha stay yako na muda wa kusafiri unachimba dawa tu bila kula? jaribu kuongeza angalau ifike 180k . Accomodation 45k per 3 nights, transport 50,000 (go, return), chakula 40,000 inayobaki tahadhari na usafiri wa ndani ya mji.
Ushauri wa pili.Laki 1 inatosha sana inategemea na mipangilio yakoo utakavyobana.
Punguza matarajio...Hatimaye nategemea kuhudhuria usaili wangu wa kwanza katika harakati za kuondokana na u jobless.
Sasa hapo si unaweza kuandika barua ya kuvunja mkataba within 24 hours,then unawalipa mshahara wa mwez mmoja,alaf watakujibu then unaenda kuripot kwa mwajiri mpya,taarifa zako zinakuwa hazisomeki,usije kuonekana unachukua mshahara Mara mbili,watakufuta huko ulikoEti wataalamu nataka kufahamu hatima ya mtu aliyeomba nafasi hizi za kazi za TRA wakati tayari ameshaajiriwa serikalini toka tarehe 15.05.2023 na kuanza kupokea mshahara mwezi June 2023, lakini wakati anaomba hakupitisha barua ya maombi ya kazi kwa mwajiri wake , kwenye usaili ameitwa na amefanya leo, sasa kama atafanikiwa kufika oral na kwa mfano akaitwa kazini je ,atakubaliwa atakapoenda kuripoti kwa mwajiri wake mpya TRA?
Punguza wasiwasi ndugu,mtaitwa tu,kuajiriwa TANAPA ni process kubwa ya kibajeti,lazima wahakikishe kwanza waajiriwa wapya wanajengewa nyumba hifadhini kulingana na idadi inayotakiwa,pili interview zao ziko kijeshi zikianza written,practical,vipimo vya afya na oral,watakaofanikiwa Kuna kwenda jeshi husu kwa miezi 6,kumbuka NCAA,TAWA na TFS wameshaita vijana zaidi ya 300+ jeshi husu,na kambi zipo mbili tu,ambazo zinachukua idadi mdogo mdogo ya watu,wanaweza kuwasubiria hao wamalize kwanza mafunzo then na wao wakapeleka vijana mlele,so yaweza kuchukua muda kidogoUsikute advertisements za Tanapa ziko cancelled kimya kimya ili nazo zipitie koridoni.
Fisi kakabidhiwa butcher. Tutaona mengi sana
Serikalini ukisharesign Si rahisi kurudi kama unavyozani, ni mpaka upate kibali na Si rahisi kukipataSasa hapo si unaweza kuandika barua ya kuvunja mkataba within 24 hours,then unawalipa mshahara wa mwez mmoja,alaf watakujibu then unaenda kuripot kwa mwajiri mpya,taarifa zako zinakuwa hazisomeki,usije kuonekana unachukua mshahara Mara mbili,watakufuta huko uliko
Now days ata ukipokea mshahara wa mwezi mmoja tuu ww tayar upo kwenye system ata ukienda taasisi Gani kwenye system itaonesha tayar umeshapata check no . Labda boss wako afanye wepesi kukuachia tuu ila ilo lakuacha kazi kwa masaa 24 asifanye icho kitu kabc ni hatar sana coz system ya ajira ni Moja siku izi sio kama kipindi cha nyuma unaweza acha hapa ukaenda pale Tena ni governmentSasa hapo si unaweza kuandika barua ya kuvunja mkataba within 24 hours,then unawalipa mshahara wa mwez mmoja,alaf watakujibu then unaenda kuripot kwa mwajiri mpya,taarifa zako zinakuwa hazisomeki,usije kuonekana unachukua mshahara Mara mbili,watakufuta huko uliko
Ata resign vipi wakati ni serikali moja hiyohiyo?Sasa hapo si unaweza kuandika barua ya kuvunja mkataba within 24 hours,then unawalipa mshahara wa mwez mmoja,alaf watakujibu then unaenda kuripot kwa mwajiri mpya,taarifa zako zinakuwa hazisomeki,usije kuonekana unachukua mshahara Mara mbili,watakufuta huko uliko
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uzi hauna shida kabisaaUle uzi kaka kaufute umekupa laani