Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hatimaye nategemea kuhudhuria usaili wangu wa kwanza katika harakati za kuondokana na u jobless.
Mungu akusaidie mkuu.Ni kujiamin na kujiandaa me nilitwa intv na International company ile hofu ya kwemda kupiga kimalikia nilisema siendi.ila kuna saut ndan inasema nenda aisee Mungu mkubwa.

Piga intv saa 2pm saa 5pm simu ya HR ananiambia usirud chuga kesho uje usain mkataba.
 
Mkuu........ Umejuaje? Hapa Kuna roho nyingine inaniambia usiende tu hiyo nafasi Sio rahisi kupata kama huna connection... Lakini Kuna roho pia inanisukuma inasema nenda tu hata ukikosa utakuwa umepata uzoefu.
 
Mwamba nenda kapige usaili ukipambana unatoboa, hakuna cha connection kule ni uwezo wako wakujibu maswali yao, ukiyaotea unatoboa.
 
laki moja ina maana huli chakula kwa kipindi chote cha stay yako na muda wa kusafiri unachimba dawa tu bila kula? jaribu kuongeza angalau ifike 180k . Accomodation 45k per 3 nights, transport 50,000 (go, return), chakula 40,000 inayobaki tahadhari na usafiri wa ndani ya mji.
Naendaga na laki na ninatoboa.

Ila lazima nifikie kwa ndugu au jamaa nnayemjua.

Mara zote kesho interview mm natokaga usiku dar nafika dom saa 9 nashuka cbe namwambia boda anipelekee chako ni chako nikifika naagiza chipsi nawaambia wanipeleke vip hakuna makelele .

Asubuhi ikifika naingia zangu CIVE au SOCIAL napiga interview .

Hadi hapo nakuwa nimetumia.

25 nauli.

Boda na chakula usiku na nauli udom 15

Jumla 35.

Nabakiwa na 65.

So nawait majibu kwa ndugu silalagi guest yakitoka naenda kufanyaga oral nikimaliza uwa naenda cbe naondoka siku hiyo hiyo na ninarudigi na chenchi
 
Laki 1 inatosha sana inategemea na mipangilio yakoo utakavyobana.
Ushauri wa pili.

Nenda siku moja kabla ya interview.

Nauli 25+nauli na kula 5 uondoke dar mchana ....jumla 30

Ukifika nenda makuru tafuta lodge ya 15K ila ukifika usiku sana kodi mjini maana karibu na udoma uwa zinajaa mapema.

So hadi hapo utakuwa umetumia 15+30=45.

Asubuhi unaamkia written .

Ukimaliza written mchana unakula chakula cha mchana +jioni jumla 5000.

Utakuwa umetumia 50K.

Lala lodge ya 15..

Kesho subiri matokeo yakitoka kama haujapita oral nenda cbe panda gari ondoka.

Kama kesho unaenda oral itabidi ulale lodge tena ya 15..

Nadhani nauli ya kurudi dar utakopa maana kuingia oral itakuwa ushindi mkubwa
 
Hatimaye nategemea kuhudhuria usaili wangu wa kwanza katika harakati za kuondokana na u jobless.
Punguza matarajio...

Tafuta mtu wa kada yako ambaye ashawahi kupitia au kufanya usaili.

Soma job description.

Soma swali elewa swali jibu extra mile ujitofautishe na wengine.

Mwandiko usomeke.

Fuata maelekezo yote.
 
Jamani naomba kujua viwango vya mshahara vya NECTA hasa Afisa wa Mitihani na registration officer
Kifupi Ni hivi jamaa Ni MWALIMU aliombauko ameitwa kwenye INTERVIEW Sasa isije IKAWA huku Akiko kukawa na ahueni

TAFADHARI mwenye kujua
 
Eti wataalamu nataka kufahamu hatima ya mtu aliyeomba nafasi hizi za kazi za TRA wakati tayari ameshaajiriwa serikalini toka tarehe 15.05.2023 na kuanza kupokea mshahara mwezi June 2023, lakini wakati anaomba hakupitisha barua ya maombi ya kazi kwa mwajiri wake , kwenye usaili ameitwa na amefanya leo, sasa kama atafanikiwa kufika oral na kwa mfano akaitwa kazini je ,atakubaliwa atakapoenda kuripoti kwa mwajiri wake mpya TRA?
 
Jaman status yangu imebadilika both App na web,jina la mwajiri toka kingereza kwenda kiswahili,vipi nitafute nauli ya kwenda masjala ya wazi wadau?au😁
2021-2023 2023 August September
👇 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20230925-001224_1.jpg
    Screenshot_20230925-001224_1.jpg
    16.7 KB · Views: 6
  • Screenshot_20230925-001541_1.jpg
    Screenshot_20230925-001541_1.jpg
    16.8 KB · Views: 6
Eti wataalamu nataka kufahamu hatima ya mtu aliyeomba nafasi hizi za kazi za TRA wakati tayari ameshaajiriwa serikalini toka tarehe 15.05.2023 na kuanza kupokea mshahara mwezi June 2023, lakini wakati anaomba hakupitisha barua ya maombi ya kazi kwa mwajiri wake , kwenye usaili ameitwa na amefanya leo, sasa kama atafanikiwa kufika oral na kwa mfano akaitwa kazini je ,atakubaliwa atakapoenda kuripoti kwa mwajiri wake mpya TRA?
Sasa hapo si unaweza kuandika barua ya kuvunja mkataba within 24 hours,then unawalipa mshahara wa mwez mmoja,alaf watakujibu then unaenda kuripot kwa mwajiri mpya,taarifa zako zinakuwa hazisomeki,usije kuonekana unachukua mshahara Mara mbili,watakufuta huko uliko
 
Usikute advertisements za Tanapa ziko cancelled kimya kimya ili nazo zipitie koridoni.

Fisi kakabidhiwa butcher. Tutaona mengi sana
Punguza wasiwasi ndugu,mtaitwa tu,kuajiriwa TANAPA ni process kubwa ya kibajeti,lazima wahakikishe kwanza waajiriwa wapya wanajengewa nyumba hifadhini kulingana na idadi inayotakiwa,pili interview zao ziko kijeshi zikianza written,practical,vipimo vya afya na oral,watakaofanikiwa Kuna kwenda jeshi husu kwa miezi 6,kumbuka NCAA,TAWA na TFS wameshaita vijana zaidi ya 300+ jeshi husu,na kambi zipo mbili tu,ambazo zinachukua idadi mdogo mdogo ya watu,wanaweza kuwasubiria hao wamalize kwanza mafunzo then na wao wakapeleka vijana mlele,so yaweza kuchukua muda kidogo
 
Sasa hapo si unaweza kuandika barua ya kuvunja mkataba within 24 hours,then unawalipa mshahara wa mwez mmoja,alaf watakujibu then unaenda kuripot kwa mwajiri mpya,taarifa zako zinakuwa hazisomeki,usije kuonekana unachukua mshahara Mara mbili,watakufuta huko uliko
Serikalini ukisharesign Si rahisi kurudi kama unavyozani, ni mpaka upate kibali na Si rahisi kukipata
 
Sasa hapo si unaweza kuandika barua ya kuvunja mkataba within 24 hours,then unawalipa mshahara wa mwez mmoja,alaf watakujibu then unaenda kuripot kwa mwajiri mpya,taarifa zako zinakuwa hazisomeki,usije kuonekana unachukua mshahara Mara mbili,watakufuta huko uliko
Now days ata ukipokea mshahara wa mwezi mmoja tuu ww tayar upo kwenye system ata ukienda taasisi Gani kwenye system itaonesha tayar umeshapata check no . Labda boss wako afanye wepesi kukuachia tuu ila ilo lakuacha kazi kwa masaa 24 asifanye icho kitu kabc ni hatar sana coz system ya ajira ni Moja siku izi sio kama kipindi cha nyuma unaweza acha hapa ukaenda pale Tena ni government
 
Sasa hapo si unaweza kuandika barua ya kuvunja mkataba within 24 hours,then unawalipa mshahara wa mwez mmoja,alaf watakujibu then unaenda kuripot kwa mwajiri mpya,taarifa zako zinakuwa hazisomeki,usije kuonekana unachukua mshahara Mara mbili,watakufuta huko uliko
Ata resign vipi wakati ni serikali moja hiyohiyo?
 
Back
Top Bottom