mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
piga intv ?? sijaelewa mkuu fafanua kwa manufaa ya woteMungu akusaidie mkuu.Ni kujiamin na kujiandaa me nilitwa intv na International company ile hofu ya kwemda kupiga kimalikia nilisema siendi.ila kuna saut ndan inasema nenda aisee Mungu mkubwa.
Piga intv saa 2pm saa 5pm simu ya HR ananiambia usirud chuga kesho uje usain mkataba.