Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mungu akusaidie mkuu.Ni kujiamin na kujiandaa me nilitwa intv na International company ile hofu ya kwemda kupiga kimalikia nilisema siendi.ila kuna saut ndan inasema nenda aisee Mungu mkubwa.

Piga intv saa 2pm saa 5pm simu ya HR ananiambia usirud chuga kesho uje usain mkataba.
piga intv ?? sijaelewa mkuu fafanua kwa manufaa ya wote
 
Eti wataalamu nataka kufahamu hatima ya mtu aliyeomba nafasi hizi za kazi za TRA wakati tayari ameshaajiriwa serikalini toka tarehe 15.05.2023 na kuanza kupokea mshahara mwezi June 2023, lakini wakati anaomba hakupitisha barua ya maombi ya kazi kwa mwajiri wake , kwenye usaili ameitwa na amefanya leo, sasa kama atafanikiwa kufika oral na kwa mfano akaitwa kazini je ,atakubaliwa atakapoenda kuripoti kwa mwajiri wake mpya TRA?
Hii imekaaje wataalamu @ Mbinguni kwetu na wajuzi wengine wa mambo.
 
1695622460888.jpg

Wakubwa wameona waend front line kuweka kazi na majukumu ya taasisi kwa uwazi zaidi ili taasisi zinazotaka kujichomoa kwny mfumo wa pspr zijipange.
Wapo live clouds tv now.
 
utatujuza kinachojili mkuu?
Jamaa wa PSRS wamekausha kichizi hapo kwenye Placement mzee , nahisi kuna fukuto linaendelea humo ndani psrs .
Dah ! ,Watakuwa wametukatili kichizi yaani wakikubali wahuni wa taasisi na mashirika na vigogo wahujumu mfumo , ukiangalia wengine interviews tulizofanya hata hizo Placement hazijakamilika bado .
Ni kisanga ,Sir God Tu mwenyewe asimame aisee ,hii vita ni kali sana
 
Inaonekana hauna kazi psrs kuna muda wanakaaga mwezi mzima no placement ,no interview
 
Jamaa wa PSRS wamekausha kichizi hapo kwenye Placement mzee , nahisi kuna fukuto linaendelea humo ndani psrs .
Dah ! ,Watakuwa wametukatili kichizi yaani wakikubali wahuni wa taasisi na mashirika na vigogo wahujumu mfumo , ukiangalia wengine interviews tulizofanya hata hizo Placement hazijakamilika bado .
Ni kisanga ,Sir God Tu mwenyewe asimame aisee ,hii vita ni kali sana
tatizo umri unasogea sna mzee, familia zinatihitaji. kwenye huu ujobless ni full hofu na wasiwasi wa njaa. tukiona hiki kimya inashangaza sana
 
Back
Top Bottom