Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Tamisemi wametangaza kazi za mkataba kupitia PSRS. Hizo zinazojiita taasisi kwanini zishindwe kutangaza kazi za mkataba? Tanzania inahitaji kiongozi mmoja tu imara mwenye msimamo taasisi zote zingenyooka.
"KNOW WHO" imekuwa kubwa sana. Hata hizo za TRA mnazosubiria mtaona maajabu. Watu hawana uzoefu wa kuajiri ila wanalazimisha. Waliofanya interview Udsm-Yombo wameona. Muda wa kukusanya wengine wanaandika, wengine wamewasha simu na mitihani wanayo mkononi, wengine wako kwenye foleni ya kukusanya, wengine foleni ya kusain out. Kusimamia mtihani na kutunga mtihani in ujuzi ambao walimu wanasomea miaka 3. Sio kila mtu anaweza kirahisi hivyo.
Mkuu kuna changamoto nyingi sana mkuu, Ila jibu la uhakika wawaachie Tu PSRS waendeshe michakato yote ya Ajira. hiyo ni Janja Janja Tu yakukamilisha kupitisha watu wao, tutashuhudia mengi Sana na wataumbuka Tu...
 
PSRS walishajua kuwa taasisi wameingia kwenye 18 kwa uwepo wao( psrs), wakati taasis zikipiga figisu wao utumishi wanatoa elimu kwenye vyombo vya habari. Am sure wahuni wote watarudi PSRS ikiwemo TRA na wenzao. Ni mwendo wa mikando mpaka wanyooke.

IT shusha pdf la weekend 💥💥💥 wapatikane vijana wakuambatana na legendary jenerari sawadogo😃😃😃
 
Waturudi Tu mbona PSRS, wacha tuendelee kusubiri, IT Mtu wetu
 
Madini...

Daaaah! Prof. Janabi umenikumbusha mbali sana. Hili wazo naona watu humu hawakuamua kulitendea haki kabisa hasa kwa namna limekaa kimtego sana.

Swali ni je, ni kipi kinafuata baada ya watu humu kuwa kwenye ajira?

Kuwapa faraja wengine wanaosaka ajira ni muhimu sana. Lakini ni kweli hakuna kingine tunachoweza kufanya zaidi ya hicho?

Kupitia hii njiapanda au stendi watu wanaelekea taasisi nyingi sana ambazo wenye ajira na wasio na ajira wanaweza wakahitaji wenyeji huko. Na ingeleta maana sana kama unakutana na mtu ambaye undugu wenu umechimbukia humu.

NB: Ukichunguza utagundua wanaopata placements na wakaamua kuendelea kubaki humu ni wachache sana. Siwalaumu nadhani ni vile wanakosa tena faida ya moja kwa moja ya kuendelea kuwemo. Ndio maana nawaza namna tuufanye huu uzi uwe valid nyakati zote, kabla na baada ya kupata ajira.
 
Neno limekaa kimtego ndio linaloumiza uchangiaji wa hiyo hoja. Hata mimi mwenyewe bado nakuna kichwa hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wadau naomba msaada kwa ajili ya ndugu yangu ambaye majina yake yana dosari kidogo kwa herufi moja.

Chet cha kuzaliwa: Amos Agrey Mathias
Form four: Amos A Mathias
Form six: Amos A Mathias
Chuo: Amos A Mathias
NIDA: Amos Aggrey Mathias

Dosari jina la kati kati la cheti cha kuzaliwa limekosa herufi 'g' moja badala ya kuwa aggrey limeonekana agrey, je hili ni tatizo katika mchakato wa ajira? Na kama ni tatizo aanzie wapi?
Njia rahisi ni kuomba kubadili cheti cha kuzaliwa. Sasa hivi wamerahisisha inafanyika online (old to new) nafikiri ni 7,000

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom