El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
mungu nimkubwa leo wakati nachungulia pdf nimefanikiwa kujiona kwenye screen baada ya kuzima simu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu!! hongera sana mkuu, hakika Mungu ni mwema sana, ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuu, kila la kheri mkuumungu nimkubwa leo wakati nachungulia pdf nimefanikiwa kujiona kwenye screen baada ya kuzima simu..
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwemamungu nimkubwa leo wakati nachungulia pdf nimefanikiwa kujiona kwenye screen baada ya kuzima simu..
ili kujiona vizuri ungejipiga na selfie kabisamungu nimkubwa leo wakati nachungulia pdf nimefanikiwa kujiona kwenye screen baada ya kuzima simu..
🤣🤣🤣ili kujiona vizuri ungejipiga na selfie kabisa
Kweli wewe SIMBA MLEVIHongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema
Utabiri mzuri next pdf naamini jina lako litakuwepo.mungu nimkubwa leo wakati nachungulia pdf nimefanikiwa kujiona kwenye screen baada ya kuzima simu..
Me nikajua kitu na box😀, kumbe ni wenge langu tu 😂😂Kweli wewe SIMBA MLEVI
Maneno huumba jamani🤣
amen.Utabiri mzuri next pdf naamini jina lako litakuwepo.
Hongera Sana mkuu, itabidi unielekeze nikabebe hayo magogo instead,[emoji17]huku nasubiri placementDaah hatimae na mimi nimefikiwa ndugu zangu,Mungu ni mwema. Niache kubeba magogo sasa japo yana hela nyingi.
siku hizi amekua na mambo ya ajabu.akijirekebisha sio chai mpaka ugali atakaribishwa.. 🤣 🤣[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] mbona humkaribishi chai na maandazi ya nazi IT sikuhizi ?
Mbona anamwaga pdf sana tu mkuu 😅😅 tuendlee kumkaribisha misosi IT mtu wetu awndlee kumwaga mapdf kama yote 💥😅siku hizi amekua na mambo ya ajabu.akijirekebisha sio chai mpaka ugali atakaribishwa.. 🤣 🤣
Mchana huu muandlie IT biriani mkuu 😅😅siku hizi amekua na mambo ya ajabu.akijirekebisha sio chai mpaka ugali atakaribishwa.. 🤣 🤣
aarrggghh atakula kwake 🤣 🤣Mbona anamwaga pdf sana tu mkuu 😅😅 tuendlee kumkaribisha misosi IT mtu wetu awndlee kumwaga mapdf kama yote 💥😅
ale huko huko..Mchana huu muandlie IT biriani mkuu 😅😅
kwa hali unavyoiona doni kweli unataka IT ale chapati za bure..??[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] mbona humkaribishi chai na maandazi ya nazi IT sikuhizi ?
Mi kwa uelewa wangu huwezi kujua mpka ufuatilie au watu waone jina lako wakuambie.Kama kuna option nyingine subiri wataalamu waje kuongezea.hongereni wote mliobahatika. Naomba kuuliza hv kama umepata kazi before hawajatoa majina watakutafuta au inakuaje, maana kama sifuatilia website je