Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu niliwahi kufungua akaunti ajira portal mwaka 2019 lakini nikasahau password 🔑. Nimejaribu ku reset upya ila sijafanikiwa Kwa maana hakuna link mpya inayotumwa. Hali hii imepelekea nifungue akaunti mpya ila NIN inanisaliti. Msaada hapa wanajukwaa!
 
Wakuu niliwahi kufungua akaunti ajira portal mwaka 2019 lakini nikasahau password [emoji360]. Nimejaribu ku reset upya ila sijafanikiwa Kwa maana hakuna link mpya inayotumwa. Hali hii imepelekea nifungue akaunti mpya ila NIN inanisaliti. Msaada hapa wanajukwaa!
Reset kwa kutumia email address yako ambayo ulitumia 2019
 
Wakuu niliwahi kufungua akaunti ajira portal mwaka 2019 lakini nikasahau password 🔑. Nimejaribu ku reset upya ila sijafanikiwa Kwa maana hakuna link mpya inayotumwa. Hali hii imepelekea nifungue akaunti mpya ila NIN inanisaliti. Msaada hapa wanajukwaa!
The best way hapo ni kuwapigia simu kuna mshkaji wangu alikuwa na scenario kama yako aliwapigia simu na wakamsaidia kutuma activation link
 
Back
Top Bottom