Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Tuko live
Screenshot_20231020-184728.jpg
 
Dah ! ,Hawa jamaa wanakwama wapi kuita majina ya fani nyingine tulizofanya mwezi wa sita aisee ?
CDO wa mwezi wa saba washamaliza ila fani za mwezi wa sita hawajamaliza kuiita ,ni hapo ndio huwa wananichanganya hawa jamaa
Ina maana walikuwa hawana uhitaji au ni nini ?
Wanaopitisha majina ya Ajira ni mwajiri ukiona majina wanachelewa shida Sio psrs Bali ni boss wako mpya .

Maana psrs hawana Ruhusa ya kuita mtu kazi mpaka mwajiri apitishe
 
Back
Top Bottom