Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaNimelamba asali, civil engineer
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaNimelamba asali, civil engineer
Buyu la AsaliWa Tanroads
hatabiriki uyu mda wowote anaweza akanyanyua mashabiki..Leo arosto. Duuuhhh
Wanaopitisha majina ya Ajira ni mwajiri ukiona majina wanachelewa shida Sio psrs Bali ni boss wako mpya .Dah ! ,Hawa jamaa wanakwama wapi kuita majina ya fani nyingine tulizofanya mwezi wa sita aisee ?
CDO wa mwezi wa saba washamaliza ila fani za mwezi wa sita hawajamaliza kuiita ,ni hapo ndio huwa wananichanganya hawa jamaa
Ina maana walikuwa hawana uhitaji au ni nini ?
Civil engineers wanaanza na Bei ganiBuyu la Asali
Sijui mkuu ila ni hela nzuriCivil engineers wanaanza na Bei gani
1.8 MCivil engineers wanaanza na Bei gani
Tafuta mahojiano ya PSRS na vyombo vya habari...Wanaopitisha majina ya Ajira ni mwajiri ukiona majina wanachelewa shida Sio psrs Bali ni boss wako mpya .
Maana psrs hawana Ruhusa ya kuita mtu kazi mpaka mwajiri apitishe
Hongera from database? Maana wale direct jamaa kaniambia hakuna check numberNimelamba asali, civil engineer
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuu kila la kheri.Nimelamba asali, civil engineer
Tafuta mahojiano ya PSRS na vyombo vya habari...
Unachoongea ni tofauti....
Hongera sana mwamba!!Nimelamba asali, civil engineer
Mchakato wa ajira wakimaliza oral wasaili wanatengeneza mkeka mtu wa kwanza hadi mwisho majina yanachukuliwa idadj wanayohitaji mfano wanataka Ma IT kumi wanawaandalia barua kabla hawajatoa mkeka lazima wawasiliane tena na taasisi husika wawaletee watu au waacheUhalisia Ni upi mkuu?