Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

IT wameshindwa kazi
Ngoja tusubiri ,ila inachosha mzee ,kama una moyo laini huangalii tena hata Placement na ninaamini kuna watu wanapata kazi na hawajui kabisa maana hata huwa hawatoi notification yoyote .
Imagine akina Stelingi walifanya interview mwezi wa kwanza huko wamekuja kuitwa hivi karibuni ,aisee inahitaji moyo sana
Na kama kweli ni taasisi au waajiri ndio tatizo la kuchelewesha huu mchakato kama baadhi ya watu wanavyodai humu , basi psrs wao wanatakiwa wabuni mfumo wa ufuatiliaji na kuwapa pressure waajiri wawe wanarudisha hizo documents faster psrs ili Placement zitoke haraka na kwa wakati .
 
Utumishi wanashida kwa kweli.

Wanasema jina linabaki kwenye database miezi 12 ilhali hadi kutoa placement inatumia miezi 3 hadi 6 sasa na database yao wanaanza kuhesabu baada ya majina kutoka .

Kiukweli wajitafakari sana.

Ucheleweshaji wa kuita watu kazini umekuwa tatizo Sugu sana na la kuzingatia wasipokuwa makini taasisi zote zitawapokonya.

Kiukweli wajitafakari
 
PSRS IMEKUWA JIPU.

INABIDI WALITOLEE MUHAFAKA.

UKIOMBA KAZI LEO TAR 30/10/2023.

UTAITWA INTERVIEW BAADA YA MIEZI MIWILI HADI MITATU (30/12/2023)

UKIMALIZA HAPO KUITWA KAZINI MIEZI MIWILI HADI MINNE.

TUSEME 30/4/2023.

Yaani mchakato wa ajira unatumia miezi SITA.

inabada ajira kwao sio emergency.

Wakishatoa majina wanasema waliobaki majina yao yanakaa mwaka lakini wanaanza kuhesabia kuanzia siku ya mwisho ya interview
 
Back
Top Bottom