Don Vill
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 2,249
- 5,674
Sidhaniinasemekana tumekandwa doni eti inawezekana kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhaniinasemekana tumekandwa doni eti inawezekana kweli.
Hahaaaaa [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji16],umeamua kumpa ugali chumvi au sio ?IT kuna ugali na chumvi..
Siku nikipata Placement nafuta na Ile account Yao ,Maana itakuwa inanikumbusha machungu ya kusubiri PlacementNi shiiiiidahhh.,,
Ngoja tusubiri ,ila inachosha mzee ,kama una moyo laini huangalii tena hata Placement na ninaamini kuna watu wanapata kazi na hawajui kabisa maana hata huwa hawatoi notification yoyote .IT wameshindwa kazi
mie hadi simu ninayotumia kulog in naitupa natafuta nyingine 🤣 🤣Siku nikipata Placement nafuta na Ile account Yao ,Maana itakuwa inanikumbusha machungu ya kusubiri Placement
Mimi huu Uzi sitaingia tena .mie hadi simu ninayotumia kulog in naitupa natafuta nyingine [emoji1787] [emoji1787]
Utumishi wanashida kwa kweli.Ngoja tusubiri ,ila inachosha mzee ,kama una moyo laini huangalii tena hata Placement na ninaamini kuna watu wanapata kazi na hawajui kabisa maana hata huwa hawatoi notification yoyote .
Imagine akina Stelingi walifanya interview mwezi wa kwanza huko wamekuja kuitwa hivi karibuni ,aisee inahitaji moyo sana
Na kama kweli ni taasisi au waajiri ndio tatizo la kuchelewesha huu mchakato kama baadhi ya watu wanavyodai humu , basi psrs wao wanatakiwa wabuni mfumo wa ufuatiliaji na kuwapa pressure waajiri wawe wanarudisha hizo documents faster psrs ili Placement zitoke haraka na kwa wakati .
😂 😂 uzi hauna hatia wenye hatia ni hao wanaojiita utumishi.Mimi huu Uzi sitaingia tena .
Mimi najisahaulisha kama nimefanyaje interview ila ubongo unakataa[emoji23] [emoji23] uzi hauna hatia wenye hatia ni hao wanaojiita utumishi.
utazani ni interview za kwenda kumuona muumba..Mtu kuaplai hadi kuitwa interview inatumia hadi Miezi mitatu kuitwa kazini miezi mitatu.
Mchakato wa ajira unatumia miezi 6 kweli.
😆 😆Mimi najisahaulisha kama nimefanyaje interview ila ubongo unakataa
mtaani tukiiba kuku tunafungwa tufanyaje sasa.au tuaze kutembeza icecream za vijiti..Mtu kuaplai hadi kuitwa interview inatumia hadi Miezi mitatu kuitwa kazini miezi mitatu.
Mchakato wa ajira unatumia miezi 6 kweli.
Serikalini Kuna kitu kinaitwa maagizo.PSRS wanayaona maombi yetu....naona watalifanyia kazi tu na hili... Kikubwa ni kuforce agenda...ili wanna wapate michobgo woteView attachment 2795876
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Hivi mchongo wa kuhamia Hazina unapatikanaje?TEMESA nishawahi kuona watu wamepangiwa kazi kule mwaka huu.
Hazina pia nishawahi kuona watu wamepangiwa kazi
Acha uduanziAcha taasisi ziajiri wenyewe
dahh nimechekaAcha uduanzi
Wameshindwa kaziAcha uduanzi