BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Nahisi ilikuwa June,Placement za TIRA, Insurance Officer kazi zake zilitangazwa lini? Sijawahi ona tangazo la kazi
Vipi salary scales za TIRA?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi ilikuwa June,Placement za TIRA, Insurance Officer kazi zake zilitangazwa lini? Sijawahi ona tangazo la kazi
yaani mpaka unachekaKuna Mkeka nasikia una majina Buku wa kufungua Mwaka 🤣keepwaitingi
We boss WA halmashauri upo ?Nahisi ilikuwa June,
Vipi salary scales za TIRA?
kaka tunakusikilizaNATAKA NIWAIBIE SIRI NYINGINE TENA ILA MUWE NA VIFUA[emoji45]
Ipi hiyo?NATAKA NIWAIBIE SIRI NYINGINE TENA ILA MUWE NA VIFUA[emoji45]
October je?Wale wa mwezi AUGUST shusheni PRESSURE [emoji1488]
October je?
Ndiyo MkuuOctober sindo wale wa MDs na LGs?
Ndiyo Mkuu
Daaaaah, Ila naona kada zingine Kama dereva, nurses, wameitwa wao hizi za majuzi apa ndyo tulifanya nao siku mojaCjajua Mungu awe nanyitu
Daaaaah, Ila naona kada zingine Kama dereva, nurses, wameitwa wao hizi za majuzi apa ndyo tulifanya nao siku moja
Ngoja tuwe na subira mpaka January hiviInTokana na uhotaji wa haraka wa taasisi husika