Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Subira ni rahisi kuisema ila kuitekeleza ni ngumu, lakini ni muhimu sana kuwa na subira.
Nakumbuka tuliitwa interview written kwenye taasisi moja pale udom (CIVE) tarehe 06/09/2022 nikapita, tukaitwa oral 08/09/2022 tukafanya lakini watu wakaitwa kazini mwezi wa 12/2022 jina langu halikuwepo. Nikapotezea nikawa nafanya mambo yangu mengine ya papatu papatu ili nipate kulipa kodi ya chumba nilichopanga mjini dsm. Mnamo tarehe 29/03/2023 utumishi wakatoa mkeka na mimi nimo tena taasisi taasisi moja kubwa ya serikali iliyoshika namba 2 kama mwajiri bora tanzania.
Sikuwa najua, siku sina hili wa lile jamaa tuliyekutana dodoma yeye ni mkazi wa mbeya ananipigia simu nikiwa kimara mwisho nataka nipande daraja niende ghetto ananipigia simu ananipa hii taarifa na kulalamika kuwa amenitafuta tokea asubuhi sipatikani, ni kweli nikiwa na heka heka simu huwa naweka kindege, lakini jioni huwa natoa nikiwa narudi nyumbani nikaftur kwangu.
Akaniambia oya jumatatu twende dodoma tukachukue barua tumeitwa kazini, sikuamini nikajua mzaha, akasema nakutumia pdf ingia Whatsapp, kweli naona jina langu na lake limo, siwafichi almanusura nigongwe ma gari maana nilikuwa natizama pdf karibu kabisa na lami sasa ile kupagawa nikajikuta naenda kwenywe lami kati kati ila msamalia alinivuta shati kwa nguvu kuikwepa bajaji.
Jumatatu tulienda mara moja na tukachukua barua zetu na j4 kuziwasilisha kwa mwajiri wetu. Ndipo tukaanza msoto mpya unaoitwa vetting mpaka tarehe 29/05/2023 tukapewa barua za kuripoti vituo vyetu vya kazi.
Jamani sekretarieti ya ajira ni mkombozi, sina babu, baba wala shangazi aliyeko huko na mimi ndio wa kwanza kupata kazi serikalini, kikubwa ukifika hatua ya oral basi ipo siku yako tu isiyo na jina jitahidi kutembelea psrs. Laiti kama tassisi zingekuwa zinaajiri zenyewe nakwambia kweli, ni wenye konekisheni tu ndio wangepata kazi ila hawa utumishi wanahakikisha keki hii ndogo tunaila wote hata wewe ambaye kwenu hakuna historia ya mtu hata mmoja aliyewahi kuketi meza kuu na wafalme. Asanteni sana
📌📌📌
 
Cheti cha kuzaliwa kina jina INOCENT alafu vyeti vingine vyoooote vina jina INNOCENT sasa sijajua ipi itumike na ipi iachwe na je Kuna shida kwa herufi hyo?
Bro fanyia kazi hii changamoto.

Ukienda hivi utaishia mlangoni jamaa hawana masihara raia huwa wanalia sana.
 
Ukishapata Placement kuna vetting tena huko kwa mwajiri? Halmashauri ni kuhakiki vyeti tu na kuingizwa kwenye Payroll hawataki kujua kama wewe ni wa Burundi au Mkongomani, au una historia ya wizi ,ujambazi hiyo utajua wewe. Mkuu utakuwa upo taasisi nyeti sana.
 
Huku acha kabisa, hatua ya awali ni kwenda kwenye vipimo vyote vya afya na majibu hupewi wewe, anapewa mwajiri wako kwa utaratibu waliopanga wao. Hiyo hatua ya mwisho ndio siwezi kusema sababu ni lazima tuheshimu viapo.
 
Bro fanyia kazi hii changamoto.

Ukienda hivi utaishia mlangoni jamaa hawana masihara raia huwa wanalia sana.
Inaonekana hajawahi kufanya usahili utumishi huyo, wale jamaa hawana mchezo tena ukutane na afisa anaetokea kanda maalum huko mara anakupa jibu moja tu na harudii. Niliwahi kukutana nae mmoja huyo huko masasi kwenye usahili kanichomoa kwenye mstali na akaendelea kuchomoa watu 20 hatukufanya usahili.
 
Kazi ishaisha. PSRS wakae pembeni sasa.
 
Attachments

  • Screenshot_20231128_111704.jpg
    Screenshot_20231128_111704.jpg
    115.9 KB · Views: 9
Gharama yake inakua bei gani kufanya hyo AFFIDAVIT?
Gharama sijui sijawahi kuwa na hii changamoto ila nishashuhudia raia wakizuiwa kuingia kwenye usaili kwa inshu kama hii yako na wengine walikuwa hawana vitambulisho, hakikisha pia unapata barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa kama huna moja ya ID wanayotaka.

Jamaa hawana huruma hawajali umetumia gharama kiasi gani kutoka kwenu hadi hapo, watu huwa wanalia.
 
Ukishapata Placement kuna vetting tena huko kwa mwajiri? Halmashauri ni kuhakiki vyeti tu na kuingizwa kwenye Payroll hawataki kujua kama wewe ni wa Burundi au Mkongomani, au una historia ya wizi ,ujambazi hiyo utajua wewe. Mkuu utakuwa upo taasisi nyeti sana.
Huyo atakuwa wizara nyeti kabisa.
 
Gharama sijui sijawahi kuwa na hii changamoto ila nishashuhudia raia wakizuiwa kuingia kwenye usaili kwa inshu kama hii yako na wengine walikuwa hawana vitambulisho, hakikisha pia unapata barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa kama huna moja ya ID wanayotaka.

Jamaa hawana huruma hawajali umetumia gharama kiasi gani kutoka kwenu hadi hapo, watu huwa wanalia.

Nimefanikisha kupata bro kwa gharama affordable akhsante
 
Back
Top Bottom