ThugMaster
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 1,594
- 2,234
Kuna ambao tunaenda jmos, dua zenu wakuu....amna wanaweza wakatoa mda wowote.kama unayo received uwe unachungulia..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna ambao tunaenda jmos, dua zenu wakuu....amna wanaweza wakatoa mda wowote.kama unayo received uwe unachungulia..
kila laheri mtatoboa tu..Kuna ambao tunaenda jmos, dua zenu wakuu....
All the bestKuna ambao tunaenda jmos, dua zenu wakuu....
Nopehahah hapo ulitoa kali ya mwaka.ungemuuliza background yake kama alivyokuuliza wewe mwanzoni.
Asante mkuu!kila laheri mtatoboa tu..
kwa hiyo mlikandana.basi ngoma droo.. 🤣 🤣Nope
Ye alianza na mzaha kuniuluza maana ya jina langu,nikamjibu,Ila akawa anajidai haelewi,zaidi ya dk 5
So nilipopata chance ,nami nikamkanda ,😂😂
🤣🤣Atajua mwenyewekwa hiyo mlikandana.basi ngoma droo.. 🤣 🤣
hahah subiri season 2 ya mkandano urevenge..🤣🤣Atajua mwenyewe
Kaikosesha bot bonge la mtaalamu
Daah!!There🙏
Rafiki angu mfwendesawadogo upo aisee kama umechomoka jamaa yangu hongera sana sikujui lakin huku niliko nmefurahi mno mnoooo jamaa yangu,patient is everythingWapambanaji hakuna kukata tamaa.
Nani kashika kijiti cha mfwende sawadogo ?
Wadau hakuna kukata moto. Mwezi huu hadi kufikia Siku ya Uhuru vijana watatoka “Block”
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Alinilazimisha kuuliza swali la ziada,nikamjibu ,nope ,no question, akaendelea kufosi kunihoji, still nikamjibu nope
Aliponiuliza Mara ya tatu nikaona anazingua,
Nikamwuliza; what's your name?
Akanijibu;Am Mr Kennedy
Nikamwuliza Tena?are you married?[emoji1787]
Akapigwa butwaa[emoji23][emoji23]
Panel yote ikaangua kicheko.
Viti vya plastic 😂Daah!!
Ofisi inakuvutia kuwa kazini muda wote.
.........Njoo Kasulu DC viti vya plastiki, lakini maisha yanaenda.
Jamani hii ni kweli kabisa, haya mambo ya kutangaza sio mazuri hata wazazi wako saingine inabidi usiwaambie maana hujui wao wanawaambia wanani, mi kazi niliyopata siku naenda kwenye sail hakuna aliyejua, wakati wa oral ni vile nilikuwa naenda Dom ndio walijua lkn written nilipiga kimya kimya na majibu yalivotoka nikashangilia mwenyewe tu Hadi nilivoona tarehe ya kwenda oral ndio nikawaambia wakabaki wanashangaa written ulifanya lini, sasa ulikitaka kuamini wao wanajua ukienda oral ijumaa jumatatu umeitwa, kumbe utumishi utasahau kila kukicha maneno yakukatishwa tamaa Hadi nilijua kwann niliwaambia na oral, siku nimeona jina hawakiamini wasema tuonyeshe huo mkeka ndio wakaamini.Sheria Ukienda kwenye mikando Marufuku kuhadithia majirani , Ndugu , Wapenzi ,hata marafiki Nenda kimya kimya.... Sio wote watafurahia upate kazi.. Cz Asilimia 99 ya watu wanaotuzunguka wanajua ukipata kazi serikalini umetoboa....wao hawajui halmashauri wala nn wanajua ukiwa serikalini umeula, so lazima husda ziwepo so unashangaa unakosa marks moja kumbe kuna ndugu anakusagia kunguni kwa waganga....
Ndio maana nikamwambia innojembe huwezi toboa cz tayari umepanick na umeshirikisha raia wote kuwa unaenda usaili wa seeikalini.
mzee wa cdoPdf sa ngaap😐😐
😂😂😂mzee wa cdo
soon unalamba asali hata pdf 3 hazifiki😂😂😂
C Wanipatie uo ucdo jaman...ntakufa njaa
Amensoon unalamba asali hata pdf 3 hazifiki