Wakuu Nimerudi Online; Nawaombeni Niwaambie Kitu... Na hii ndio itakuwa conclussion yangu Kuhusu Utumishi Sitaongea Tena...
1. Wewe uliyefanya interview Ambaye Ile post hadi leo haijatoa...umefanya mwezi /miezi... Thn upo nyumbani huna kazi....
Cz najua wengine hata akili zime stack kila ukiomba kazi hupati So now ulivyofika oral ukapumua ukasema let kwanza niwait wakitoa kama sipo nianze tena harakati Naongea na wewe....
2. Kwa akili za kawaida Shida ipo Utumishi au shida ipo kwa Taasisi...?..
My Opinion: Sijui shida ipo wapi ,ila nahisi asilimia 75 shida ipo utumishi kwa sababu........
Kama watu washafanya oral utumishi walitakiwa watoe majina ili wajivue lawama ,kule kwenye Taasisi ndio iwe kazi yao sasa , kulaumiwa wakiwasubirisha watu kuingia kazini.
3. Mimi nafikiri utumishi wangeweka standards bwana baada ya oral matokeo yawe ndani ya muda furani.... Cz kwa hichi kinachoendelea Mfano TRA zile interview za watu wa MDA wameenda nao Sambamba hope na leo watu wapo kwenye seminar japo waliitwa kwa Emails... Hii hapa inaleta picture kuwa kama usaili wangesimamia Utumishi hadi leo oral ingekuwa tayari ila kuitwa kazini ingekuwa 0-0.
4. Mwaka jana Raisi samia alivyokuwa anahutubia kuhusu utumishi aliwauliza mnashida gani?? Mbona hadi leo watu washafanya interview miezi miwili na wanasema hamuwapi watu wao???.....huwezi amini ilikiwa saa 4 hadi saa 7 majina karibia elfu 3 watu wakaitwa kazini.....So hope nahisi Utumishi kuna shida sehemu....Ingekuwa hakuna shida wangetoa procedure....Ni heri baada ya Oral umwambie yule mtahiniwa bwana hapa majibu yatatoka baada ya Miezi 5 au 6....Yule mtu inakuwa rahisi kuelewa kuliko hichi...
5. Conclussion;- Utumishi wana mazuri 10000000. Ila hili la kuchelewesha kuita watu usaili &
Placement ....Its a torture...... Maana inafika stage Jobless anavurugwa akili akiomba kazi Private hapati, Huku anasubiria Oral anaamua kujipa hope ngoja niwait ...Huku napo anawaitishwa.