Tatizo Bongo hamna scientific research and development institutionsHivi hii kozi yangu ya BACHELOR OF SCIENCE IN PHYSICS haina hata matangazo ya ajira za kutengeneza mitego ya panya. Mbona nimepigwa na kitu kizito vibaya sana wajemeni.
So watu kama wewe kazi zenu ni za maabara na kudevelop scientific ideas na kufanya research mbalimbali na vumbuzi au kufanya kazi za maabara
Ninyi ni kama wale wenye bachelor's of science in Chemistry au Biology
Ingawa watu wengi wamezoea kuwaita walimu ila si sawa ,ninyi ni experts katika hiyo field .
Ingawa hata kufundisha inawezekana ingawa sio specialty yenu .
Wa Chemistry na Biology naona ndio wanapata pata kwenye institutions kama NIMR , TARI ,TAFIRI nk ila kwa Physics sijui wakuajili wapi aisee .
Kuna dogo mmoja rafiki yangu alisomea hiyo course DUCE na akaajiriwa mwaka jana kule IRINGA kama mwalimu ,ila ile ilikuwa ni special case kwa zile nafasi za kipekee za watu wasio na fani ya ualimu kuomba kazi za ualimu kupitia Tamisemi ,nadhani zile nafasi ilikuwa ni mwaka 2021 au 2022 ndio zilitolewa