Utumishi wako fair
JF-Expert Member
- Nov 12, 2021
- 429
- 1,340
Nyie ndio wanga wenyewe, interview tu tumekubaliana watu wasiage, unataka ww nikuage na report lini... Hii nchi ina watu wa tofauti sanaaa🤣Mnaripot lin?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie ndio wanga wenyewe, interview tu tumekubaliana watu wasiage, unataka ww nikuage na report lini... Hii nchi ina watu wa tofauti sanaaa🤣Mnaripot lin?
Kwa mshahara wako huwezi kupata take home ya 1.3mYani kuna watu wanataka kuniaminisha take home ya 1.3 na ya 519,000 zote ni hela ndogo?? Basi hata ya mill 2 ni ndogo still.
Kwa hiyo kanuni za kudumu za Utumishi wa umma huzijui?Nijibu swali langu, je nikipelekwa halmashauri nitalipwa hii au scale za halmashauri ukinijibu basi.
Acha kutunga story,Jidangajeee... Kuna jamaa yangu juzi tu kahama kutoka helsb yupo NSSF.
Ndio maana nakwambia jidangaje.... Eti wametiii agizo la msajiri wa hazina mbona wewe hujaomba?? Kwa hiyo msajiri wa hazina ndio aliweka masharti lazima wawe wamejitolea ndani ya nssf??Acha kutunga story,
Nssf wametii agizo la msajili wa hazina kwa kutangaza nafasi za Kazi
Ww jamaa punguza fujo bas furaha ikizidi mwsho inaleta shida unakera wengin humu ndan kuna watu wanaugulia maumiv ya ujobless so furah yako lazim iwe na mipaka mshukuru Mungu Kwa hapo ulipopata watu wameshajua umebahatik sehem nzur lkn Hain haja kuleta vurugu humu ndan kuponda watu wengineNyie ndio wanga wenyewe, interview tu tumekubaliana watu wasiage, unataka ww nikuage na report lini... Hii nchi ina watu wa tofauti sanaaa[emoji1787]
🤔🤔🤔🥱Weka akiba ya maneno mkuu usiongee Sana ukiwa unafurahaMkuu baada ya mwaka Mmoja hata kama nitaamua nisifanye biashara yoyote ile.... Baada ya mwaka nitakuwa na Akiba ya Millioni 6.
Maana kutoka 1.3 kwa mwezi... Nitaishi maisha ya laki 8 tu. Thn laki 6 nitaweka akiba....
Kwann nitaishi maisha ya laki 8? Kama kuna watu humu take home wanakunja laki 4 na wanaishi mimi nishindwe kuishi kwa laki 8??? Ni hesabu tuuu na ndio maana matajiri tutaendelea kuwa wachache na masikini mtakuwa wengi...cz mnaishi kwa mkumbo.
Mkuu Huko CPA ndio wanafundisha hesabu za maandazi hivi?? 🤣🤣 Basi safari ipo ndefu sana....Kwa mshahara wako huwezi kupata take home ya 1.3m
Paye ni 285000/-
Trade union 32000/-
Nhif 48000/-
Psssf 80,000/-
Sawa mkuu ,nimekuelewa boss wangu 🙏 samahani sanaWw jamaa punguza fujo bas furaha ikizidi mwsho inaleta shida unakera wengin humu ndan kuna watu wanaugulia maumiv ya ujobless so furah yako lazim iwe na mipaka mshukuru Mungu Kwa hapo ulipopata watu wameshajua umebahatik sehem nzur lkn Hain haja kuleta vurugu humu ndan kuponda watu wengine
Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
Ndio maana nakwambia jidangaje.... Eti wametiii agizo la msajiri wa hazina mbona wewe hujaomba?? Kwa hiyo msajiri wa hazina ndio aliweka masharti lazima wawe wamejitolea ndani ya nssf??
Mkuu Huko CPA ndio wanafundisha hesabu za maandazi hivi?? 🤣🤣 Basi safari ipo ndefu sana....
Yani una calculate hesabu za Payee before calculation za PSSSF 🤣 NYIEEEE
Ndio nakuuliza Wewe mbona hujaomba ? au hukuona kigezo kuwa wawe wamewahi jitolea au wana mikataba ya muda???
- acha kutunga story,
- ni kweli wametii agizo la msajili wa hazina kwa sababu hayo mashirika ya umma yote yako Chini yake
- kingine sera ya ajira inasema ajira zinatakiwa ziwe za ushindani
- halafu jifunze r na l, msajiri ndio nini? Halafu unasema una gpa ya 4.1
Unaelewa neno ajira za ushindani?Ndio nakuuliza Wewe mbona hujaomba ? au hukuona kigezo kuwa wawe wamewahi jitolea au wana mikataba ya muda???
Ndio nakuuliza msajili aliweka kigezo hichooo??
Mkuu unauelewa na hela huna hivi account yako ya bank muda huu ina digits hata 7 kweli?? 🤣🤣 Okay basi tuendelee kusema Education is better than money.
- tulia Soma kwa makini hiyo 284000/-, imepatikana baada ya kutoa 80,000 (nikapata 1.52m)ya psssf, ingekua sijatoa psssf paye ingekua zaidi ya hapo,
- uelewa wako mdogo Sana, kama paye yako sio 284000/- bisha hapa
Ww msikilize huyo msajili wa hazina wadau wapo wana shine... Ushawahi ona ajira za RITA ? NIDA ? EWURA za entry level? TANESCO Mwaka wa ngapi hawajaajiri Unafikiri hakuna watumishi kule 🤣🤣 Stukaaa boy wanguUnaelewa neno ajira za ushindani?
Wapo watu wanalipwa pesa nyingi kuliko wewe ila wametoa mrejesho na kukaa kimya ila wewe ushaleta hadi mshahara ambao ni siri yako na muajiri.Bro nisikie nisisikie Siwezi kulalamika mshahara huo ni mdogo... Kama nitaona mdogo bank zipo naweza kopa hadi M70 kwa huo mshahara... Nikiona hautoshi nikope nifanye biashara.... Full stop ,huo mshahara ni mkubwa na unanitosha.
Boss hebu acha wenge na wewe kama serikali yenyewe tuu... Inatoa kima cha mshahara sijui ma tgs sijui nini ...ingekuwa siri kiivyo si wasingekuwa wanatoa ma pdf?? Acha roho ya korosho ... Hiyo tgs si kuna pdf zimetolewa kabisa... Au kisa mimi kusema Million roho inakuuma? Mbona kuna watu wamesema humu halmashauri sijui bei gani mbona hujawaandikia humu??? Au kisa ni ndogo ndio roho haikuumi?? Wangapi humu wanataja sijui mishahara ya tra ngapi sijui bei gani? Tena kuna uzi hadi wa goverment salary scale ..kama sio sheria kwann Moderator wameuacha??? Acha roho ya korosho utakufa vibaya.Wapo watu wanalipwa pesa nyingi kuliko wewe ila wametoa mrejesho na kukaa kimya ila wewe ushaleta hadi mshahara ambao ni siri yako na muajiri.
Angalia kuna watu wanaitwa GSO huko unapofanya kazi ukiendelea na hili wenge watakusogeza bench.
We sema una report lini acha longo longoNyie ndio wanga wenyewe, interview tu tumekubaliana watu wasiage, unataka ww nikuage na report lini... Hii nchi ina watu wa tofauti sanaaa[emoji1787]