Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nyie ndio wanga wenyewe, interview tu tumekubaliana watu wasiage, unataka ww nikuage na report lini... Hii nchi ina watu wa tofauti sanaaa[emoji1787]
Ww jamaa punguza fujo bas furaha ikizidi mwsho inaleta shida unakera wengin humu ndan kuna watu wanaugulia maumiv ya ujobless so furah yako lazim iwe na mipaka mshukuru Mungu Kwa hapo ulipopata watu wameshajua umebahatik sehem nzur lkn Hain haja kuleta vurugu humu ndan kuponda watu wengine

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu baada ya mwaka Mmoja hata kama nitaamua nisifanye biashara yoyote ile.... Baada ya mwaka nitakuwa na Akiba ya Millioni 6.

Maana kutoka 1.3 kwa mwezi... Nitaishi maisha ya laki 8 tu. Thn laki 6 nitaweka akiba....

Kwann nitaishi maisha ya laki 8? Kama kuna watu humu take home wanakunja laki 4 na wanaishi mimi nishindwe kuishi kwa laki 8??? Ni hesabu tuuu na ndio maana matajiri tutaendelea kuwa wachache na masikini mtakuwa wengi...cz mnaishi kwa mkumbo.
🤔🤔🤔🥱Weka akiba ya maneno mkuu usiongee Sana ukiwa unafuraha
 
Ww jamaa punguza fujo bas furaha ikizidi mwsho inaleta shida unakera wengin humu ndan kuna watu wanaugulia maumiv ya ujobless so furah yako lazim iwe na mipaka mshukuru Mungu Kwa hapo ulipopata watu wameshajua umebahatik sehem nzur lkn Hain haja kuleta vurugu humu ndan kuponda watu wengine

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu ,nimekuelewa boss wangu 🙏 samahani sana
 
Ndio maana nakwambia jidangaje.... Eti wametiii agizo la msajiri wa hazina mbona wewe hujaomba?? Kwa hiyo msajiri wa hazina ndio aliweka masharti lazima wawe wamejitolea ndani ya nssf??
  • acha kutunga story,
  • ni kweli wametii agizo la msajili wa hazina kwa sababu hayo mashirika ya umma yote yako Chini yake
  • kingine sera ya ajira inasema ajira zinatakiwa ziwe za ushindani
  • halafu jifunze r na l, msajiri ndio nini? Halafu unasema una gpa ya 4.1
 
Mkuu Huko CPA ndio wanafundisha hesabu za maandazi hivi?? 🤣🤣 Basi safari ipo ndefu sana....

Yani una calculate hesabu za Payee before calculation za PSSSF 🤣 NYIEEEE
  • tulia Soma kwa makini hiyo 284000/-, imepatikana baada ya kutoa 80,000 (nikapata 1.52m)ya psssf, ingekua sijatoa psssf paye ingekua zaidi ya hapo,
  • uelewa wako mdogo Sana, kama paye yako sio 284000/- bisha hapa
 
  • acha kutunga story,
  • ni kweli wametii agizo la msajili wa hazina kwa sababu hayo mashirika ya umma yote yako Chini yake
  • kingine sera ya ajira inasema ajira zinatakiwa ziwe za ushindani
  • halafu jifunze r na l, msajiri ndio nini? Halafu unasema una gpa ya 4.1
Ndio nakuuliza Wewe mbona hujaomba ? au hukuona kigezo kuwa wawe wamewahi jitolea au wana mikataba ya muda???
Ndio nakuuliza msajili aliweka kigezo hichooo??
 
  • tulia Soma kwa makini hiyo 284000/-, imepatikana baada ya kutoa 80,000 (nikapata 1.52m)ya psssf, ingekua sijatoa psssf paye ingekua zaidi ya hapo,
  • uelewa wako mdogo Sana, kama paye yako sio 284000/- bisha hapa
Mkuu unauelewa na hela huna hivi account yako ya bank muda huu ina digits hata 7 kweli?? 🤣🤣 Okay basi tuendelee kusema Education is better than money.
 
Bro nisikie nisisikie Siwezi kulalamika mshahara huo ni mdogo... Kama nitaona mdogo bank zipo naweza kopa hadi M70 kwa huo mshahara... Nikiona hautoshi nikope nifanye biashara.... Full stop ,huo mshahara ni mkubwa na unanitosha.
Wapo watu wanalipwa pesa nyingi kuliko wewe ila wametoa mrejesho na kukaa kimya ila wewe ushaleta hadi mshahara ambao ni siri yako na muajiri.

Angalia kuna watu wanaitwa GSO huko unapofanya kazi ukiendelea na hili wenge watakusogeza bench.
 
Nyie ambao hamjajipata bado huu ni usia wangu...

Piga kelele sanaaa, tukana sanaaaa, jifanye mjuaji sana... Ila omba sana Rais samia abakie madarakani. Unless akitoka kazi itakuwa ngumu sana , Utakuwa mtafutano .

kuna raia baada ya kutoka kikwete kumaliza muda wake walisaga sana rumba, wamekuja kujipata kipindi cha mama...

kupata kazi serikalini ni issues, nafikiri mlimsikia prof; kitila mkumbo serikali ina ajiri asilimia 5 tu.. na wakati muda unaenda kuna damu changa zina graduate...

yani usipojipata mpka mwezi wa 7, kuna batch mpya inaingia kusaka ajira kama watu laki 9 hivii ....😀

mimi siwatishi ila ndio ukweli, na unashangaa post yako ajira zake hazizidi 5 kwa mwaka .. na nafasi moja au mbili. Na ukienda unakuta nyomiii la kufa mtu.
 
Wapo watu wanalipwa pesa nyingi kuliko wewe ila wametoa mrejesho na kukaa kimya ila wewe ushaleta hadi mshahara ambao ni siri yako na muajiri.

Angalia kuna watu wanaitwa GSO huko unapofanya kazi ukiendelea na hili wenge watakusogeza bench.
Boss hebu acha wenge na wewe kama serikali yenyewe tuu... Inatoa kima cha mshahara sijui ma tgs sijui nini ...ingekuwa siri kiivyo si wasingekuwa wanatoa ma pdf?? Acha roho ya korosho ... Hiyo tgs si kuna pdf zimetolewa kabisa... Au kisa mimi kusema Million roho inakuuma? Mbona kuna watu wamesema humu halmashauri sijui bei gani mbona hujawaandikia humu??? Au kisa ni ndogo ndio roho haikuumi?? Wangapi humu wanataja sijui mishahara ya tra ngapi sijui bei gani? Tena kuna uzi hadi wa goverment salary scale ..kama sio sheria kwann Moderator wameuacha??? Acha roho ya korosho utakufa vibaya.

Wewe unajua nimeajiriwa taasisi gani? Au ndio wanga wenyewe ... Hapa ni jukwaa huru kila mtu ana haki ya kuongea anachojisikia ili mradi havunji sheria ya nchi? .... Nimetuma documents yoyote humu ya mshahara... Ambayo inavunja sheria??? Vipi wale wanaosema watu wasiende halmashauri kama wana mishe zao wafanye mbona hujaenda ku comments kuwa anaikwamisha serikali watu wasiende vituo vyao vya kazi ???

Kuwa jobless sio ndio uwe una kasirika hata kwa vitu vidogo, relax mkuu...mambo yatakuwa sawa ,hata mimi nilikuwa kama wewe.
 
Ikifika 2025 , amka zako asubuhi nenda sanduku la kura kampigie Tick inshaallah Rais: samia suluhu.

Sasa wewe jifanye unakaza kichwa, na ubishi wako...ila huo ndio usalama wako wa kuendelea kuziona hizo nafasi za ajira unless... Ushawaona waroho wa madaraka wanavyosema Taasisi ziajiri wenyewe.

Mnaniita mimi ,kibaraka ,sijui wakala... Lakini kama mimi nimepata kazi kipendeleo...

Je rafiki yako??? 🤣Maana now kila mtu kama yeye hajapata basi kuna mwanae kapata je huyo rafiki yako na yeye kapata kiupendeleo????

Akili kichwani kwako##.
 
Back
Top Bottom