ThugMaster
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 1,594
- 2,234
Daa bato za humu zinaumiza, ewe Mungu tujalie na sisi ambao bado hatuna kesho yetu ikawe ya furaha...[emoji120][emoji120][emoji120]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu yangu, cha muhimu ni kutokukata tamaa huyu mtoto amekosa malezi hasa ya kina Baba maana hana uungwana unapokuwa na furaha ukashindwa kui manage ni tatizo kubwa sana na hatuwezi kumuacha anakatisha tamaa watu,yeye sio wa kwanza kupata kazi watu tumepata na tunatambua furaha kamili tutaipata na wenzetu wakikomboka.Daa bato za humu zinaumiza, ewe Mungu tujalie na sisi ambao bado hatuna kesho yetu ikawe ya furaha...[emoji120][emoji120][emoji120]
Kuna PDF za kutosha kuanzia leo had jpil..wanangu jobless msikate tamaaAisee uzi umekuwa wa kiwaki now.
haya maswali nimejiuliza sana sijapata majibu maana hizo pdf nazifatilia sana maana hata mimi nasubiria hizo placement. Ict security tulifanya nao oral tareh 15 mwezi wa 11 na walikuwa wa 4 na bado hawajaitwa kazini wote.Huyu jamaa anasema amepata kazi tarehe 20 eti yeye ni ICT security mbona pdf la tarehe hakuna mtu wa security hata mmoja afu watu waliofanya interview ya security ya Ega walifeli wote practical juzi MDA'S and LGA'S walipatikana wanne wa security bado awajapangiwa hata mmoja sa sijui security ipi mzee pdf ya trh 20 Kuna data analyst mmoja, network mmoja, Kuna programmer wawili sa hiyo security ipi unayozungumzia afu sisi watu wa ICT hatuna maneno mengi relax kaka huu Uzi ni wa muhimu sana kuliko kudanganya watu eti security security ipi
Amina mkuu!🙏🙏🙏 Na iwe ivyoKuna PDF za kutosha kuanzia leo had jpil..wanangu jobless msikate tamaa
Kuna security mmoja kwenye Hilo PDF...bodi ya pamba Tanzania..nmeona afsa tehama II usimamizi wa mitandao au yenywe ni tofaut? Wajuzi wa IT ndo mnajua.haya maswali nimejiuliza sana sijapata majibu maana hizo pdf nazifatilia sana maana hata mimi nasubiria hizo placement. Ict security tulifanya nao oral tareh 15 mwezi wa 11 na walikuwa wa 4 na bado hawajaitwa kazini wote.
hiyo ni tofauti security ni ulinzi wa mifumo ya tehama hiyo ya kwenye pdf ni network management Ict officerKuna security mmoja kwenye Hilo PDF...bodi ya pamba Tanzania..nmeona afsa tehama II usimamizi wa mitandao au yenywe ni tofaut? Wajuzi wa IT ndo mnajua.
usimamizi wa mitandao ni network managementKuna security mmoja kwenye Hilo PDF...bodi ya pamba Tanzania..nmeona afsa tehama II usimamizi wa mitandao au yenywe ni tofaut? Wajuzi wa IT ndo mnajua.
Bro, humu kuna akili kubwa, sema watu mnachukulia poa uzi, sasa unajaribu kumpumbaza nani?! You are the same guy, unajisema?! Umeona utengeneze account nyingine baada ya kujulikana wewe ni 'utumishi wako fair' yote haya unafanya kwa ajili ya nini?!Huyu jamaa anasema amepata kazi tarehe 20 eti yeye ni ICT security mbona pdf la tarehe hakuna mtu wa security hata mmoja afu watu waliofanya interview ya security ya Ega walifeli wote practical juzi MDA'S and LGA'S walipatikana wanne wa security bado awajapangiwa hata mmoja sa sijui security ipi mzee pdf ya trh 20 Kuna data analyst mmoja, network mmoja, Kuna programmer wawili sa hiyo security ipi unayozungumzia afu sisi watu wa ICT hatuna maneno mengi relax kaka huu Uzi ni wa muhimu sana kuliko kudanganya watu eti security security ipi
Amen kaka,na ikawe hivo nasie tupate kaziKuna PDF za kutosha kuanzia leo had jpil..wanangu jobless msikate tamaa
Kazi nzuri Detective [emoji1992]Bro, humu kuna akili kubwa, sema watu mnachukulia poa uzi, sasa unajaribu kumpumbaza nani?! You are the same guy, unajisema?! Umeona utengeneze account nyingine baada ya kujulikana wewe ni 'utumishi wako fair' yote haya unafanya kwa ajili ya nini?!
Afande apandishwe cheo awe OCCIDKazi nzuri Detective [emoji1992]
Kabisaa [emoji23]Afande apandishwe cheo awe OCCID
katuzunguka jamaa yetu baada ya watu kujua kwamba hajapata kaziKazi nzuri Detective [emoji1992]
Ok poa mkuu mie cyo mjuzi wa hayo mambohiyo ni tofauti security ni ulinzi wa mifumo ya tehama hiyo ya kwenye pdf ni network management Ict officer
Notedusimamizi wa mitandao ni network management
hapana me sio huyo jamaa me nimejiunga Jana na nimetumia IT personal sababu me ni mtu wa ICT tyu na Wala sio mshikaji sema tu nliona jamaa ana danganya sana nikaona nijiunge ili nimwambie ukweli maana kakazana security securityBro, humu kuna akili kubwa, sema watu mnachukulia poa uzi, sasa unajaribu kumpumbaza nani?! You are the same guy, unajisema?! Umeona utengeneze account nyingine baada ya kujulikana wewe ni 'utumishi wako fair' yote haya unafanya kwa ajili ya nini?!