Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Naomba kujua mtu alie soma ordinary diploma in development administration and management hufanya kazi wapi? Hii kozi ipo chuo Cha mipango dodoma
 
huyu rais ndio kaja kuharibu kila kitu kwenye mfumo wa ajira yaani serikali ina system mbili za kuajiri.Taasisi zenye asali ya maana zimewekwa reserved kwa watoto wa vigogo zinaajiri kimyakimya alafu watoto wa maskini wanagombania masega utumishi.Bora angechagua system iwe moja tu kama utumishi au taasisi ijulikane moja maana kama mashirika yote yangekua yanapitia utumishi hata ajira zingeongezeka kiasi.
 
Mamaeee ni mwendo wa makombo halmashauri huko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na yenyewe wanatoa kwa nyodo as if wanatoa tiketi ya kwenda mbinguni
Hii nchi ina laana ya asili
 
Wanasimamiaga wenyewe mwanzo mwisho, ni kama ilivyokuwa tra tu
Wanaelekea kwenye uchaguzi.....
Na sheria iliyopitishwa na Bunge Taasisi zote zinapitia PSRS kutangaza ajira....
Ile inshu aliyopewa TRA na Taasisi baadhi walikuwa wanajambo maslah yao kwa watoto wao na umeliona mwenyewe jinsi yalio tokea...
Bunge limepitisha ajira 1000 za TRA lakini Taasisi imepewa kibari cha watu 500 kwann...Ila wangekuwa PSRS wote wangeajiri
 
Oh wamepitisha lini hii mkuu? Kwahiyo saivi ajira zote anasimamia PSRS?

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
huyu rais ndio kaja kuharibu kila kitu kwenye mfumo wa ajira yaani serikali ina system mbili za kuajiri.Taasisi zenye asali ya maana zimewekwa reserved kwa watoto wa vigogo zinaajiri kimyakimya alafu watoto wa maskini wanagombania masega utumishi.Bora angechagua system iwe moja tu kama utumishi au taasisi ijulikane moja maana kama mashirika yote yangekua yanapitia utumishi hata ajira zingeongezeka kiasi.
Kasome Mkataba Wa Mwitongo
 
JObless wanapambana wapate kazi ila wengine ndo kama hivi
 
Attachments

  • GFakx2uWEAAweCh.jpeg.jpg
    GFakx2uWEAAweCh.jpeg.jpg
    111.1 KB · Views: 6
Wanaelekea kwenye uchaguzi.....
Na sheria iliyopitishwa na Bunge Taasisi zote zinapitia PSRS kutangaza ajira....
Ile inshu aliyopewa TRA na Taasisi baadhi walikuwa wanajambo maslah yao kwa watoto wao na umeliona mwenyewe jinsi yalio tokea...
Bunge limepitisha ajira 1000 za TRA lakini Taasisi imepewa kibari cha watu 500 kwann...Ila wangekuwa PSRS wote wangeajiri
Hahahaaaa haya sawa mkuu
 
Back
Top Bottom