Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Alhamdulillah namimi leo nimetokea kwenye mkeka, msikate tamaa database inafanya kazi.
Hongera sana kiongozi...
Ukawe mtumishi mwema katika majukumu ...
Ngoja niwe mvumilivu maana kila mkeka sipo wala kada haipo
 
Back
Top Bottom