captain sparrow
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 949
- 2,061
Kuna mkeka uko ulioshiba, leteni shuhuda wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo ulete ushuhuda, leo nimeona electrical engineersmie mwenyewe kila siku naota nadrive subaru 🤣 🤣
Dah, leo kada yangu ndo hakuna hata mmoja!Kuna mkeka uko ulioshiba, leteni shuhuda wakuu
hakuna kitu 😂 😂Njoo ulete ushuhuda, leo nimeona electrical engineers
Dah!!!!hakuna kitu 😂 😂
Hawaeleweki yani, kama tanescoDah ngoja tusubir kwahio pale mpk tarehe moja tena march au wanaweza toa nyengine hap kati kati 😭
Umeme wanadonyoa donyoa khà,ila poa tuu kesho zamu yetuuNjoo ulete ushuhuda, leo nimeona electrical engineers
Labda aisee watatoa kbla ya tar 1, ata ss kuna kada tulifanya nao same date January naona wamepata placementDah ngoja tusubir kwahio pale mpk tarehe moja tena march au wanaweza toa nyengine hap kati kati [emoji24]
Hongera Sana mkuu, ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuuAlhamdulillah namimi leo nimetokea kwenye mkeka, msikate tamaa database inafanya kazi.
Hongera sana kiongozi...Alhamdulillah namimi leo nimetokea kwenye mkeka, msikate tamaa database inafanya kazi.
HongeraAlhamdulillah namimi leo nimetokea kwenye mkeka, msikate tamaa database inafanya kazi.
Umekaa muda gani?Alhamdulillah namimi leo nimetokea kwenye mkeka, msikate tamaa database inafanya kazi.
aisee yaan hapo sjui ndo mpaka lini tena maana pdf nzito kama hizi zikitoka ujue kuna nusu mwezi mbele..Umeme wanadonyoa donyoa khà,ila poa tuu kesho zamu yetuu