Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Seeh mda mwingine tunawasonda kidole PSRS, lakin kumbe kuna maujanjajanja yanafanyika kwa idara husika kwa kuchelewesha response Utumishi ili waonekane hovyo kwa jobless.
Na hapo ndipo utumushi wawe makini kusimamia sera na sheria zao
 
msijali.Huu mfumo wa kielectronic uliharibu system kidogo kwa hiyo walikua wanajaribu mitambo kwanza na watu wa halmashauri dude lenyewe litakuja punde si punde maana wameshaconfirm kuwa system iko safi.hakikisha bando linafika 10gb otherwise utaishia katikati..
Nimecheka sana
 
Wakuu nimemaliza miaka 7 iliyopita. Sjawah kuitwa Usaili wowote na ambazo huwa naitwa nilikua staki kwenda au ningejkuta jina langu kwenye mikeka ya kuitwa kwenye usaili nkawa siendi kwa sabab moja au mbili.
Sasa mwaka jana nikaanza kwenda Dodoma kila nnapoitwa na Mungu Mwema nikajaliwa kuingia oral mara tatu kwa kazi tofauti mfululizo... Nikaamini hata nnazokosa kuna mambo ya database maana huwa naingia zile kazi zenye ushundan sana... Moja wameajir mtu mmoja mbili hawajatoa mkeka
Ila hyo Stress ya kuchungulia walioitwa kazini kila siku kwakweli inanitesa sana. Kwa siku naingia website zaidi ya mara 15. Mpaka nshakuwa mlevi wa kuangalia website na portal ya utumishi.
Naamini Mungu atatenda.
 
Mkuu naamini tumefikiwa tuendelee kuwa na matumaini.
 
Wakati wako unakaribia vuta subira
 
Back
Top Bottom