Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ulikuwa usaili wa tume ulifanyika tar 8/3 pamoja na stamico stamiko hawajatoa bado hope alifanya usaili wa tume na sio stamico,

Tume Walihitaji watu 29 mining engeneers ambao walienda moja kwa moja oral hawakufanya written.
Hapana kaka sio tume. Uyu rafiki yangu yeye tume alifanya mala ya kwanza kabisa zaidi ya miezi 8 imepita alifanya oral lkn akupangiwa, lkn juzi kati pale akapiga stamico. Sio tume
 
Kuna mwanangu kalamba asali, injinia wa madini alikuwa kipanga kweli kweli o-level na advance aliweka div 1 ya 7 PCM. Sema ujobless ulimnyoosha apa katikati. Tusikate tamaa wadau. Mie kwenye data base yangu naona wamenyofoa wawili Leo na tulikuwaga 159 [emoji16][emoji16] kwenye oral. Kada ilikuwa committee clerk.
Ujobless huwa unavyoosha, hauchagui kama ulikuwa kipanga au msindikizaji[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Hongera kwake huyo jamaa akawe mtumishi mwema!
 
Ujobless huwa unavyoosha, hauchagui kama ulikuwa kipanga au msindikizaji[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Hongera kwake huyo jamaa akawe mtumishi mwema!
Mkuu mliwezaje kua na subra ivi😩😩,pdf la Mdas ndo huwa halielewek ivi? Let's say position ilihitaj watu 40 but iyo donyoa donyoa si miaka na miaka et😪..maana tka tumefany oral January iyo donyoa ni sidhani km watano wanafika
 
Back
Top Bottom