Gotzon
JF-Expert Member
- Feb 25, 2021
- 244
- 305
Hawako serious kabisa, spidi ya kuita watu kazini inazidi kuwa ndogoAdvertisement...4
Call for interview...4
Placement...0
Database itapungua kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawako serious kabisa, spidi ya kuita watu kazini inazidi kuwa ndogoAdvertisement...4
Call for interview...4
Placement...0
Database itapungua kweli
😂😂😂Daaah jobless pesa itutese, mapenzi yatutese hadi utumishi pia jaman.. daaaah aisee IT fanya jambo kabla hujaenda out weekend tufurahi.. 😃😃😃
Na T-pain atuteseDaaah jobless pesa itutese, mapenzi yatutese hadi utumishi pia jaman.. daaaah aisee IT fanya jambo kabla hujaenda out weekend tufurahi.. 😃😃😃
wameongeza na matokeo ya usahili 🤣 🤣Advertisement...4
Call for interview...4
Placement...0
Database itapungua kweli
Nimechungulia ya tehama mkufunz..wametusua sanawameongeza na matokeo ya usahili 🤣 🤣
hapo mpaka wafike oral anachomoka mmojaNimechungulia ya tehama mkufunz..wametusua sana
Wanatakiwa 7 hawahapo mpaka wafike oral anachomoka mmoja
dah basi wanabahati..Wanatakiwa 7 hawa
Mwamba T-pain😂😂😂haya kuna pdf uko
nambie kaka watu wananichukia kisa eti nawaletea habari njema za mapdf 😆 😆 😆Mwamba T-pain😂😂😂
Status hazina maana mkuu ukipiga oral subiri PDF tuNdugu zangu Wasaja asali nina jambo moja. Nimefatilia huko nyuma kuhusu status za portal ya utumishi.
Nina maoni haya.
Kuna ambao wanasema kuwa mimi status ilibadilika kama mara tatu wengine wakisema ilianza selected for practical sijui not selected for null
Hii inaonekana kuna watu ambao muda wote wana access ya kuingia kwenye mtandao. Na kuna Watu ambao hawaingii kabisa.
Au unaweza ukaingia ukakuta status haijabadilika kumbe ilibadilika na pale olipobadilika hukuwa online au ulikua online halafu hakuja njia ya kupata notifications za mabadiliko.
Kwa maoni yangu suala la status kubadilikq lipo sawa lakini kama unaingia portal mara mbili kwa wiki utajuaje ilibadilika mdagani?
Hivyo mimi kwa hili jambo naomba kusema kuwa pdf ndo majibu. Pale Pdf ikitoka ndo mtu anaweza kusema juu ya status.
Na pia kuna watu pdf ikitoka wakiona tu jina kwenye mkeka hata hawaangalii tena status wanachofanya ni kwenda Rose Migiro kubeba barua.
Hayo n maoni yangu.
ngoja waamke 🤣 🤣Status hazina maana mkuu ukipiga oral subiri PDF tu
Tulishafunga huu mjadala inaonekana nyie new comerStatus hazina maana mkuu ukipiga oral subiri PDF tu
Mzee hawa hata sijui wanajua mambo ya web na appngoja waamke [emoji1787] [emoji1787]
Unajua nini kuhusu ajira portal wewe new ID izo zisikuletee mawengeMzee hawa hata sijui wanajua mambo ya web na app
Kwani bado mna Imani na status tungoja waamke 🤣 🤣