Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ndugu zangu Wasaka asali yaani JOBLESS OFICER II nina jambo moja. Nimefatilia huko nyuma kuhusu status za portal ya utumishi.
Nina maoni haya.
Kuna ambao wanasema kuwa mimi status ilibadilika au huwa inabadilika kama mara tatu wengine wakisema ilianza selected for practical sijui not selected for null na kadhalika.

Hii inaonekana kuna watu ambao muda wote wana access ya kuingia kwenye mtandao. Na kuna Watu ambao hawaingii kabisa.
Au unaweza ukaingia ukakuta status haijabadilika kumbe ilibadilika na pale ilipobadilika hukuwa online au ulikua online halafu hakuna njia ya kupata notifications za mabadiliko.
Kwa maoni yangu suala la status kubadilika lipo sawa lakini kama unaingia portal mara mbili kwa wiki utajuaje ilibadilika mdagani? Na kwanini hakuja notifications kama za email kuwa status yako imebadilika.

Hivyo mimi kwa hili jambo naomba kusema kuwa pdf ndo majibu. Pale Pdf ikitoka ndo mtu anaweza kusema juu ya status.
Na pia kuna watu pdf ikitoka wakiona tu jina kwenye mkeka hata hawaangalii tena status wanachofanya ni kwenda Rose Migiro kubeba barua.
Na wengine anaweza akapata kazi siku ya mkeka kutoka status ikawa may be Selected for Null nk. Na akasema kuwa mimi status yangu haijawah kubadilika au ilibadiljka jana kumbe hakuwa anaingia online
Kwa kufanya research PDF NDO STATUS
Hayo n maoni yangu.
 
Ndugu zangu Wasaja asali nina jambo moja. Nimefatilia huko nyuma kuhusu status za portal ya utumishi.
Nina maoni haya.
Kuna ambao wanasema kuwa mimi status ilibadilika kama mara tatu wengine wakisema ilianza selected for practical sijui not selected for null
Hii inaonekana kuna watu ambao muda wote wana access ya kuingia kwenye mtandao. Na kuna Watu ambao hawaingii kabisa.
Au unaweza ukaingia ukakuta status haijabadilika kumbe ilibadilika na pale olipobadilika hukuwa online au ulikua online halafu hakuja njia ya kupata notifications za mabadiliko.
Kwa maoni yangu suala la status kubadilikq lipo sawa lakini kama unaingia portal mara mbili kwa wiki utajuaje ilibadilika mdagani?
Hivyo mimi kwa hili jambo naomba kusema kuwa pdf ndo majibu. Pale Pdf ikitoka ndo mtu anaweza kusema juu ya status.
Na pia kuna watu pdf ikitoka wakiona tu jina kwenye mkeka hata hawaangalii tena status wanachofanya ni kwenda Rose Migiro kubeba barua.
Hayo n maoni yangu.
Status hazina maana mkuu ukipiga oral subiri PDF tu
 
1714903273781.png
 
Back
Top Bottom