Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

1: unaingia na username na password unayoitumia kwenye account yako ya ajira portal
2: unadakika nne(4) za kusoma instructions
3: baada ya hapo kuna popup message ya kuverify na kuanza mtihan
4: kama haijatokea haina maana kuwa muda wako umesimama, muite msimamizi mapema utatue changamoto hiyo, ukichelewa unaweza kujikuta dakika 20 zimekata
MASHARTI YA MUHIMU
5: Maswali ni 50 dakika ni 60 yaani saa moja, unaruhusiwa ku- submit baada ya nusu saa (30 min)
6: HAIRUHUSIWI KUFUNGUA PAGE NYINGINE, ukiingia system inafungua Full screen, usijaribu kutoka au kufungua new page
7: Unaruhusiwa kuanza na swali lolote kati ya 50
Nimeongelea upande wa ICT , wengine sijui
Shukrani Sana mtaalam kwa ufafanuzi na mchanganuo mzuri, nilikuwa nauliza maswali ni ya kazi husika au ni Aptude za kila siku tulizozoea
 
yaani siku wakiniita kwenda kuchukua barua naenda na kopo la mikojo lazima mtu aoge pale 🤣 🤣
Yaani hata sijajua kinachoendelea hapa ila nimejikuta nafungua uzi nakutana na hii comment nikabaki nacheka tuu 😂😂😂😂😂😂😂
 
Wiki ya pili inaenda bila mkeka.. Sijui kuna nini kimezuia mkeka mpya. Ila tuendelee kuweka Matumaini juu. IT wembe ni ule ule zile kada za Madereva, Officce Assistant, Afisa Kilimo, Maendeleo ya Jamii tunaomba unapumzishe. Kuna kada hawajaguswa huu mwaka wa 8 na Oral wanafika.
Kila mmoja aseme Aameen
 
wale wenye ujuzi na mitumba kaanzeni kuagiza mabelo kabisa muanze ujasiliamali.wengine tushaanzaanza kupaka watu rangi kucha uku..[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Mkuu nipo kisemvule nawahi miwa asubuhi rangi 3 ya kuuza kwenye torori
 
katibu na yule mwenzie watakua ndio wamemaliza interview yao magic fm sasa naskia wanampango wa kwenda BBC na Aljazeera ndio warudi dodoma kuidhinisha pdf.hiyo ni mpaka christmass...
🤣🤣🤣🤣🤣 Dah! Sio poa jamani BBC kufanya nn tena?!
 
Back
Top Bottom