The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,580
- 7,203
Hiyo kada ni muhimu sana utumishini Wana pepo yao kuleDaaah aisee.. ila madereva jaman walamba asali hadi kero. 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo kada ni muhimu sana utumishini Wana pepo yao kuleDaaah aisee.. ila madereva jaman walamba asali hadi kero. 😂😂😂
Hongera mkuuNdugu katika utafutaji Mungu mkubwa Leo ndugu yenu nilamba asali ya nyuki wadogo,tusichoke kupambana Siri 1;Mungu 2; Working hard 3#Consistency
😪😪😪....Hongera sana Kiongozi Mungu akusimamie ukawe mtumishi mwemaNdugu katika utafutaji Mungu mkubwa Leo ndugu yenu nilamba asali ya nyuki wadogo,tusichoke kupambana Siri 1;Mungu 2; Working hard 3#Consistency
Hata Mimi inakataa tangu jana, Nadhani NI matatizo ya mtandao yanayoendelea nchiniJaman hv mbna account yangu ya ajira portal inakataa ku login
Asante sanaHongera mkuu
Shukran mkuu😪😪😪....Hongera sana Kiongozi Mungu akusimamie ukawe mtumishi mwema
Hongera sana mkuuNdugu katika utafutaji Mungu mkubwa Leo ndugu yenu nilamba asali ya nyuki wadogo,tusichoke kupambana Siri 1;Mungu 2; Working hard 3#Consistency
hongera sana karibu katika utumishi wa umaNdugu katika utafutaji Mungu mkubwa Leo ndugu yenu nilamba asali ya nyuki wadogo,tusichoke kupambana Siri 1;Mungu 2; Working hard 3#Consistency
ata mimi nilikua na fikra hzo mwanzoni na nilikua naona kama kuna upendeleo flan but trust me mambo hayako hvo ukilamba asali utasahau na utawaona psrs ni watu na nusuKama mmegundua wengi wanaotoa shuhuda humu za kulamba asali ni wale wanaoongelea vizuri kuhusu psrs..,
Tumia application yao ipo fresh......Hata Mimi inakataa tangu jana, Nadhani NI matatizo ya mtandao yanayoendelea nchini
Wanavyodai, maswali yana uzito tofauti..hiyo ata kabla ya mfumo iko hvyoJamani mie naomba kuuliza kwenye izi online interview. Inakuwaje mtu anapata 59, 45, 47 ilihari maswali yanakuwa 50 maana ake Kila swali Lina marks mbili jumla 100. Maana mtu akipata 59 maana ake alipata 29.5 je Kuna maswali yanakuwa Yana marks 2.5 au?
Itakua wanatafuta asilimia mfano umepata 43 ya 50 watafanya 43/50*100=86 hii ndiyo marks yako.....mwanao asisome hkl!!!!Jamani mie naomba kuuliza kwenye izi online interview. Inakuwaje mtu anapata 59, 45, 47 ilihari maswali yanakuwa 50 maana ake Kila swali Lina marks mbili jumla 100. Maana mtu akipata 59 maana ake alipata 29.5 je Kuna maswali yanakuwa Yana marks 2.5 au?
Kwa Nini HKL lakini😂😂😂Itakua wanatafuta asilimia mfano umepata 43 ya 50 watafanya 43/50*100=86 hii ndiyo marks yako.....mwanao asisome hkl!!!!
Mkuu hii inaleta odd number kwelItakua wanatafuta asilimia mfano umepata 43 ya 50 watafanya 43/50*100=86 hii ndiyo marks yako.....mwanao asisome hkl!!!!
asali ni asali tu hongera kakaNdugu katika utafutaji Mungu mkubwa Leo ndugu yenu nilamba asali ya nyuki wadogo,tusichoke kupambana Siri 1;Mungu 2; Working hard 3#Consistency