Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Jobless sijui tunafeli wapi yaani walioitwa usaili pdf la 26/5/2024 ni wachahche sana, halafu wote wanapiga oral tu. Halaf wengine wapo mtaani wanalalamika mambo ya ajira sijui connection lakin hawataki kuapply. Hebu fikiria yaani mwalimu kaitwa kwenye usaili mmoja tu. Halaf... Daah aisee walimu acheni uoga wa intavyuu.. 😂😂😂😂
 
Jobless sijui tunafeli wapi yaani walioitwa usaili pdf la 26/5/2023 ni wachahche sana, halafu wote wanapiga oral tu. Halaf wengine wapo mtaani wanalalamika mambo ya ajira sijui connection lakin hawataki kuapply. Hebu fikiria yaani mwalimu kaitwa kwenye usaili mmoja tu. Halaf... Daah aisee walimu acheni uoga wa intavyuu.. 😂😂😂😂
Embu andika vizuri uweleweke mzee.
 
Mbona Kwang Kuna mabadiliko kweny app jamn, na nyiny ivy ivy au, selected for oral haipo wameweka Shortlisted 😔
 
Back
Top Bottom