Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Namshukuru Mungu nimetoka kwenye mkeshaa wa maombi asubuhii hii nakutana na jina langu kwenye pdf,nashindwa hata niongee maneno gani ya kumshukuru Mungu,nimefanya interview (4) utumishi sijawahii kubahatika kuingia Oral hata siku moja,ila interview ya mwezi wa Nne niliingia Oral kwa mara ya kwanza na Leo nimeona jina langu
Hongera Sana mkuu kila la kheri katika majukumu yako mapya ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuu
 
Namshukuru Mungu nimetoka kwenye mkeshaa wa maombi asubuhii hii nakutana na jina langu kwenye pdf,nashindwa hata niongee maneno gani ya kumshukuru Mungu,nimefanya interview (4) utumishi sijawahii kubahatika kuingia Oral hata siku moja,ila interview ya mwezi wa Nne niliingia Oral kwa mara ya kwanza na Leo nimeona jina langu
Hongera sana Mungu akutangulie katika majukumu yako Mapya
 
Namshukuru Mungu nimetoka kwenye mkeshaa wa maombi asubuhii hii nakutana na jina langu kwenye pdf,nashindwa hata niongee maneno gani ya kumshukuru Mungu,nimefanya interview (4) utumishi sijawahii kubahatika kuingia Oral hata siku moja,ila interview ya mwezi wa Nne niliingia Oral kwa mara ya kwanza na Leo nimeona jina langu
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
 
Namshukuru Mungu nimetoka kwenye mkeshaa wa maombi asubuhii hii nakutana na jina langu kwenye pdf,nashindwa hata niongee maneno gani ya kumshukuru Mungu,nimefanya interview (4) utumishi sijawahii kubahatika kuingia Oral hata siku moja,ila interview ya mwezi wa Nne niliingia Oral kwa mara ya kwanza na Leo nimeona jina langu
Hongera sana mkuu!
Naomba nisaidie kupata majibu ya maswali haya kama hutojali
1. Umepata post direct au kutoka database
2. Vipi status kwenye App ilikuwaje mabadiliko yake kutoka Received mpaka ulipoona jina lako kwenye pdf
 
Asante Mkuu,,,1.Nimepata post direct Mkuu 2.Status kwenye app nilikuaga naangalia kila siku haikuwahii kubadilika Tangia nifanyee oral,ilikuwa tuu SELECTED FOR ORAL INTERVIEW
 
Habari wakuu
Vipi maswali yao ya UTUMISHI ya mfumo mpya (online test) huwa wanabase wapi
 
Back
Top Bottom