Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Naona wadau niliyokuwa naombea wapate Nona washa anza kufanikiwa Leo TRC imeanza nao wa electrical na civil na afsa usafirishaji nao Mungu Kaona database yenu hongereni, hapo bado wa mechanical na wale wa Automobile Engineers,
 
Civil bado wengi tu kwenda trc, watu wa commercial offers, yard master, mechanical, auto-electrical, automobile , locomotives guide, locomotives supervisor na wengine (kada zingine) kulingana kada za tangazo Lao na MDAs
 
Civil bado wengi tu kwenda trc, watu wa commerce, mechanical, auto-electrical, automobile , locomotives guide, locomotives supervisor na wengine (kada zingine) kulingana kada za tanzo Lao na MDAs
Kumbe kuna tangazo kabisa
 
Hapo TRC wapo watu wa databse, wapo wa tangazo na wapo wa MDAs, hata leo watu wa kazi data wapo kama afsa ushafirishaji na hao wa electrical pia na wengineo
 
Wengi saaana walifanya interview May hilo Pdf ni refu sana linakatwa katwa week nzima
Kwahiyo kesho tena, sasa ikitokea ni hivyo, lengo la kukatakata ni nini? Kwamba imekuwa siasa ionekane wanaajiri vijana kila siku au
 
Wahandisi wenzangu wa Umeme@rahsully na @Malabiosh , tuendelee kuwa wajasiriamali 🤣🤣
Utumishi ishaleta zengwe mazee
Yaani data base ya mtu nne TRC hamna Electrical aliyechomoka humu 😂😂😂
 
Back
Top Bottom