Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 🤣 watakua wanajikusanya uko pdf lijalo watakuja kama nzigeMadereva leo wamepumzika,,hehehe
Duh, poleni, ipo sikuhola
🙏 🙏 🙏Duh, poleni, ipo siku
Yeah, nimeona ndo nikawa nauliza kama ndugu zangu ni miongoni mwaoWapo wanne...hii pdf la matechnician
wafanye hivyo aiseeLeo, kesho na ijumaa ni Pdf za Trc tu
Umekuja mzee wa ramli chonganishi😂Leo, kesho na ijumaa ni Pdf za Trc tu
Kumbe kuna tangazo kabisaCivil bado wengi tu kwenda trc, watu wa commerce, mechanical, auto-electrical, automobile , locomotives guide, locomotives supervisor na wengine (kada zingine) kulingana kada za tanzo Lao na MDAs
Wengine ni wa data base piaKumbe kuna tangazo kabisa
Nikiwapa za ndaani zikienda sawa munakula kimya, munasubil chanzo kinipe tango pori🤣🤣🤣Umekuja mzee wa ramli chonganishi😂
Wengi saaana walifanya interview May hilo Pdf ni refu sana linakatwa katwa week nzimaKumbe kuna tangazo kabisa
Kwahiyo kesho tena, sasa ikitokea ni hivyo, lengo la kukatakata ni nini? Kwamba imekuwa siasa ionekane wanaajiri vijana kila siku auWengi saaana walifanya interview May hilo Pdf ni refu sana linakatwa katwa week nzima
Sasa wakitoa Pdf lote kesho watapost nini🤣Kwahiyo kesho tena, sasa ikitokea ni hivyo, lengo la kukatakata ni nini? Kwamba imekuwa siasa ionekane wanaajiri vijana kila siku au