Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

nadhani pia kutakuwa na shida kubwa uko psrs...toka june unakuja na pdf hii...
 
Kweli mkuu mimi nilianza na TARURA mwaka mmoja, 2019 na 2020 hadi sasa niko halmashauri a.k.a LGA, japo namalizia mwezi huu niende lasimi TRC kuanza kazi ila asee wafanyakazi 90% LGA wengi wana maisha magumu sana,wengi wameathirika na mikopo ya riba,yaani kwa sehemu nilipo sijaona mfanyakazi wa LGA mwenye networth hata ya milioni 200, including wakuu wa vitengo.

ukija huku LGA asee kuwa makini na mshahara wako, hawa watu wa kukopesha wana fanya maisha kuwa magumu sana, hakika nimejifunza kupitia makosa ya wafanyakazi wa LGA naamini nitakuwa vyema asee, ila wengi wana hali mbaya, take home za slary zao zina hali mbaya hana tofauti na mlinzi.
Ujumbe muhimu
 
Kwanii shida ya halmashaurii ni Nini mishahara midogo au??
mzee usiombe japo zinatofautian kidogo na maeneo ,kuna maeneo yana mapato kama halmashauri za geita,dar es salaam, kunasehemu zingine hazina mapato yaani fedha ya miradi ikija na mradi ukashindwa kukamilika basi huwa ni ngumu kupata fedha ya kukamilisha mradi kwa mapato ya ndani, ila kwa 90% halmashauri zote zinafanana.

huku kwanza kazi ni nyingi kila siku haziishi

malipo kidogo bado hujajiiingisza kwenye masuala ya mikopo

unamabosi wengi, hadi diwani wa kata unamuogopa

maisha yako wanayafatiliwa na kila mtu ikitokea umepata fedha ukafanya maendeleo kuwazidi wenzio unaweza tengenezewa zozo na mabosi plus pccb kuwa umeiba fedha, labda familia yako uipeleke mbali kabisa na sehemu ya kazi

ukinunua gari tu kali utahojiwa fedha umetoa wapi hata kama ni za jasho lako, hii kitu siioni kwa taasisi zingine kama TRA, mtaani ukiona nyumba kali ukaambiwa ni mali ya afisa wa TRA hakuna shida ila ukiambiwa ni ya mwalimu au mhandisi au mtendaji haloo! lazima wakufatilie kwa ukaribu.
 
psrs wanasema taasis ndio tatizo
Taasis zinasema psrs ndi

mzee usiombe japo zinatofautian kidogo na maeneo ,kuna maeneo yana mapato kama halmashauri za geita,dar es salaam, kunasehemu zingine hazina mapato yaani fedha ya miradi ikija na mradi ukashindwa kukamilika badi huwa ni ngumu kupata fedha ya kukamilisha mradi kwa mapato ya ndani, ila kwa 90% halmashauri zote zinafanana.

huku kwanza kazi ni nyingi kila siku haziishi

malipo kidogo bado hujajiziingisha kwenye masuala ya mikopo

unamabosi wengi, hadi diwani wa kata unamuogopa

maisha yako wanayafatilia kila mtu ikitokea umepata fedha ukafanya maendeleo kuwazidi wenzio unaweza tengenezewa zozo na mabosi plus pccb kuwa umeiba fedha, labda familia yako uipeleke mbali kabisa na sehemu ya kazi

ukinunua gari tu kali utahojiwa fedha umetoa wapi hata kama ni za jasho lako, hii kitu siioni kwa taasisi zingine kama TRA, mtaani ukiona nyumba kali ukaambiwa ni mali ya afisa wa TRA hakuna shida ila ukiambiwa ni ya mwalimu au mhandisi au mtendaji haloo! lazima wakufatilie kwa ukaribu.
Daaah hatarii Sana Mkuu,Mimi nilipata VETA juzii nikaona tupo local government ndio maana nilikuwa naogopa coz mmesema LGA pote mambo ni hayo hayo
 
veta siyo local bhana! wapo chini ya wizara ya elimu nazani mpo chini ya tamisemi japo nyie mishahara yenu minono, mimi nilikosa VETA japo oral nilifika
 
ila hawa psrs, wamefanya nikawa adicted na portal yao yaani nilikuwa saa moja asubhi naangalia,mchana naangalia, jioni naangalia, usiku saa mbili nangali, saa tano usiku before kulala naangalia tena. nikikosa bando nakuwa kama chizi.
ila now asee kila nikitaka kucheck portal napata usingizi
Inaonekana umefanya oral mkuu unasubuli placement
All the best mkuu
 
mzee usiombe japo zinatofautian kidogo na maeneo ,kuna maeneo yana mapato kama halmashauri za geita,dar es salaam, kunasehemu zingine hazina mapato yaani fedha ya miradi ikija na mradi ukashindwa kukamilika basi huwa ni ngumu kupata fedha ya kukamilisha mradi kwa mapato ya ndani, ila kwa 90% halmashauri zote zinafanana.

huku kwanza kazi ni nyingi kila siku haziishi

malipo kidogo bado hujajiiingisza kwenye masuala ya mikopo

unamabosi wengi, hadi diwani wa kata unamuogopa

maisha yako wanayafatiliwa na kila mtu ikitokea umepata fedha ukafanya maendeleo kuwazidi wenzio unaweza tengenezewa zozo na mabosi plus pccb kuwa umeiba fedha, labda familia yako uipeleke mbali kabisa na sehemu ya kazi

ukinunua gari tu kali utahojiwa fedha umetoa wapi hata kama ni za jasho lako, hii kitu siioni kwa taasisi zingine kama TRA, mtaani ukiona nyumba kali ukaambiwa ni mali ya afisa wa TRA hakuna shida ila ukiambiwa ni ya mwalimu au mhandisi au mtendaji haloo! lazima wakufatilie kwa ukaribu.
Halmashauri hauwezi kuishi bila mkopo.

Kwanza mshahara mdogo sana.

Inabidi ufanye jambo nje na kutegemea mshahara kama kilimo au biashara
 
Back
Top Bottom