Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Fuatilia posts za watu wanaotoa shuhuda humu alafu tuliza akili!!
Hii ni sehem ya jobless kujifariji na kupeana tips za hapa na pale, na inapotokea miongoni mwetu kama hivi kulamba asali tunapeana update kwa lengo la kupeana moyo na kutokata tamaa... Usikaze fuvu sana kwa kila kinachotumwa mengine ni utani tu. Au unataka kusema nini?
 
Back
Top Bottom