Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,755
Nafasi zipi mfano ??Hizo halmashauri zote zilizotangaza nafas, kuna nafas hawajatangaza zitajazwa na watu wa database...kwahiyo tutulie tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafasi zipi mfano ??Hizo halmashauri zote zilizotangaza nafas, kuna nafas hawajatangaza zitajazwa na watu wa database...kwahiyo tutulie tu
Sasaiv direct labda kwenda chooni tu. 😂😂😂😂Sisi afya tunaitwa Direct kazini.
analia tangazo la halmashaur ya kahama...alafu angalia pdf la leo walioitwa kahamaNafasi zipi mfano ??
🤣 🤣 🤣 🤣 chooni kwenyewe huwezi kwenda direct unaweza kuta raia anakata gogoSasaiv direct labda kwenda chooni tu. 😂😂😂😂
Ili mradi jobless wateseke tu.. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 🤣 🤣 🤣 chooni kwenyewe huwezi kwenda direct unaweza kuta raia anakata gogo
yaani interview ni compulsoryIli mradi jobless wateseke tu.. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mkuu hv tanesco huwa hawapitii psrs sijawaona kitamboyaani interview ni compulsory
wale wajinga hawapitii psrs halafu wanachukuaga watu walichuo lao lipo masakiMkuu hv tanesco huwa hawapitii psrs sijawaona kitambo
Hakuna majibu?Wakuu msaada nimejibiwa hivyo na wakati vyeti vyote niliupload kwenye acc yangu.
Mkuu unashida ganHakuna majibu?
Mbona wivu kwa watu wa afya.Sasaiv direct labda kwenda chooni tu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli sjui kuna shida gnWeb sahv naona nzito au kwangu tu
Daaa nmechek sana,comments 🤣🤣🤣🤣🤣we unacheka nn 🤣 🤣
kwangu inafungukaWeb sahv naona nzito au kwangu tu
Guys naomba mwenye nambar ya customer care ya utumishi aiweke hapaWanajamvi,
Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?