No SQL
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 7,063
- 12,563
Mmmmmh mmmh kila la kheriPina, kwa heshima ya nimekuona sanaa kwenye nyuzi hii na una bidii mno, nitafute Pm, then tutayajenga mengine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmmh mmmh kila la kheriPina, kwa heshima ya nimekuona sanaa kwenye nyuzi hii na una bidii mno, nitafute Pm, then tutayajenga mengine.
Mimi apa🤗Pinacoladee unaitwa huku uwekwe kweny next pdf
mie sizifahamu ila naskia tu sio halmashauri zote ngumuNingependa kuzifahamu izo halmashauri..
Kinondoni na ilala penginemie sizifahamu ila naskia tu sio halmashauri zote ngumu
Mchek jamaa pm uko myajengeMimi apa🤗
Issue sio ugumu.Kinondoni na ilala pengine
wote hata sisi tutapata halmashauri huko huko na tutaneemeka na uchaguzWatendaji kabla ya uchuguzi ni wakati wenu wa kutamba tu....shekhe kipozeo anaita Neema izo 🔥💃
kumbe uchaguzi ndio unawafeva nimepata jibu aiseeWatendaji kabla ya uchuguzi ni wakati wenu wa kutamba tu....shekhe kipozeo anaita Neema izo 🔥💃
hizi pdf mbili zimekaa kichokozi mno kujiona itabidi utumie microscopeDah pdf ya pili hii hakuna kitengo changu...dah..
Mliopata hongereni sana
Umeme technicians , temesa wamezoahizi pdf mbili zimekaa kichokozi mno kujiona itabidi utumie microscope
wamezolewa wengi hatari na mechanical..Umeme technicians , temesa wamezoa
Hivi na wizarani maokoto yao yapoje hawa wa degree..?Issue sio ugumu.
Muhasibu wa halmashauri anakula mshahara mdogo kuliko wa Taasisi.
Daktari wa jkci ,moi wanalipwa hela ndefu ila wa mwananyamala anakula ndogo.
Engineer wa Tanroads ana mshahara mzuri ila wa halmashauri analipwa kwa manati.
Watu tunachukia Halmashauri kwa vimishahara vyao na maisha ya Miungu watu.
Umechelewa tumeshaliona au kuna lingine?kuna pdf majobless
wametoa lingine huoniUmechelewa tumeshaliona au kuna lingine?