bjhjhj
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 207
- 398
we zania nakutania yaani siku ukipata kazi niite mbwaMimi nahisi wewe umeishia darasa la saba upo huku kuzingua

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we zania nakutania yaani siku ukipata kazi niite mbwaMimi nahisi wewe umeishia darasa la saba upo huku kuzingua

marcellojr bigup mwanangu.Master T-pain,Mzee wa miundo mbinu 😀😀
bomboclat kabooooooooooooooom
hizi interview nafasi mie mwenyewe nawasiwasi aiseeFala nishafanya interview wala siogopi ila hizi taka taka za tamisemi zilizokuja humu utumishi wataajiri watoto wao japo interview itakuwa ya kuzuga maaamaaae
Huyu mtu wanamjua humu thread kama anakuwa wrong cjui wanapata wap nguvu ya kumjibu wanaacha lengo la thread...inakoelekea majobles watakua vichaa huu uzi umegeuka wa matusi hii hatari sana
Alhamdulillah pongezi kwa Mama anaupiga MwingiNdo hilo hpo walilolitoa
Hongeren mliolamba asali....mkawe watumishi wema.....Ndo hilo hpo walilolitoa
Mm nina mwamba nilikuwa na nafanya nae kazi dar siku moja kaniambia mzee ajira zikitoka lazima nipate taasisis kubwa tu nikambishia.hizi interview nafasi mie mwenyewe nawasiwasi aisee
Mkoani sio oral mkuu,kinachofanyika mkoani ni writen ambayo ipo kwenye mfumo na haiwezi kuvuja amini hiloMm nina mwamba nilikuwa na nafanya nae kazi dar siku moja kaniambia mzee ajira zikitoka lazima nipate taasisis kubwa tu nikambishia.
Majina kutoka jina lake la kwanza.
Kufuatilia kumbe ana ndugu yake alimpa paper la oral hadi written na wakambeba kwenye interview.
Mm nina jamaa yangu kutwa kuwasiliana na wabunge jina lake kwenye database walipeleke taasisi juzi majina yametoka kwenda wizara Ana mind kinyama ndo kila siku ananishtua na kuniambia wanaweza kumwita tena kwa taasisi wakubwa wanampambania.
Interview gereshi.
Sasa interview ndo useme zifanyiwe mkoani unadhani mambo yatakuwaje.
Ukiona zimetolewa Tamisemi zimeenda Utumishi.....hizi interview nafasi mie mwenyewe nawasiwasi aisee
Watalamba asali kivipi wakati itambidi afanye interview na afaulu mkuu.Ukiona zimetolewa Tamisemi zimeenda Utumishi.....
Kuna Jambo hapo
Watu waliomaliza zamani watalamba asali [emoji106]
Tamisemi mambo yake ni manual tofauti na hawa PSRS kwenye selected
Huwezi kuamini Interview itafanywa sio kwa online...
Lengo...[emoji867]
KiongoziWatalamba asali kivipi wakati itambidi afanye interview na afaulu mkuu.
Wakuu samahani hivi hayo matangazo ya kazi za utendaji mitaa, kumbukumbu sijui na drivers mnawaelewa kwanini pengine yameletwa huku naona ni usumbufu pdf ndefu mpaka inaboaAlhamdulillah pongezi kwa Mama anaupiga Mwingi
Buda boss,nigaz bum bum bomboclat👊👊marcellojr bigup mwanangu.bomboclat kabooooooooooooooom
![]()
Mkuu pia naomba kuuliza hizo kazi uwe umehitimu kidato cha sita tu bila fani mfano utawala kwa kazi za utendajiduhh yani mtu usipoingia webu dakika tu ukirudi unakuta halmashauri 5 zimeshapostiwa 🤣🤣
Mkuu hiyo ni kwa kutumia cheti cha six?? Pia unaweza omba??Zamu ya watendaji saiv website imepambwa na vimulimuli vya halmashauri
Wao wameona wanaweza kufanya hivyo na wakazimudu, hofu yako nini? Kwani sekretarieti ya ajira iliundwa kushughulikia watu Gani?Wakuu samahani hivi hayo matangazo ya kazi za utendaji mitaa, kumbukumbu sijui na drivers mnawaelewa kwanini pengine yameletwa huku naona ni usumbufu pdf ndefu mpaka inaboa
Mbona kama utumishi wanajipa makazi mengi na kuongeza ucheleweshaji wa uchakataji maana naona haitakuwa rahisi kufanya kwa haraka halmashauri zote izoo