Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

hizi interview nafasi mie mwenyewe nawasiwasi aisee
Mm nina mwamba nilikuwa na nafanya nae kazi dar siku moja kaniambia mzee ajira zikitoka lazima nipate taasisis kubwa tu nikambishia.

Majina kutoka jina lake la kwanza.

Kufuatilia kumbe ana ndugu yake alimpa paper la oral hadi written na wakambeba kwenye interview.

Mm nina jamaa yangu kutwa kuwasiliana na wabunge jina lake kwenye database walipeleke taasisi juzi majina yametoka kwenda wizara Ana mind kinyama ndo kila siku ananishtua na kuniambia wanaweza kumwita tena kwa taasisi wakubwa wanampambania.

Interview gereshi.

Sasa interview ndo useme zifanyiwe mkoani unadhani mambo yatakuwaje.
 
Mkoani sio oral mkuu,kinachofanyika mkoani ni writen ambayo ipo kwenye mfumo na haiwezi kuvuja amini hilo
 
Ukiona zimetolewa Tamisemi zimeenda Utumishi.....
Kuna Jambo hapo
Watu waliomaliza zamani watalamba asali [emoji106]
Tamisemi mambo yake ni manual tofauti na hawa PSRS kwenye selected
Huwezi kuamini Interview itafanywa sio kwa online...
Lengo...[emoji867]
Watalamba asali kivipi wakati itambidi afanye interview na afaulu mkuu.
 
Watalamba asali kivipi wakati itambidi afanye interview na afaulu mkuu.
Kiongozi
Watakuwa na majina tayari wamescanning waliomaliza zaman waliomba wanachukua wanaowataka kutokana na Tangazo...
Interview ni kula per diem tu
Watu wanatafuta Kura 2025
Lengo ni kuondoa makando makando kwenye mitandao na hili jambo litamjenga Mama(rais) ....
Kwa maoni yangu kwa jicho la Tatu
 
Nimeomba kazi mbili utumishi hapa ndio nasikilizia shortlisted ili nikapambane kwenye usaili. Naamini nitatoboa. Utumishi ukiwa na uwezo wa kufaulu written, practical ukafika mpaka oral kuna uhakika fulani tofauti na kampuni za wahindi wanapeana kazi kwa kujuana.
 
Alhamdulillah pongezi kwa Mama anaupiga Mwingi
Wakuu samahani hivi hayo matangazo ya kazi za utendaji mitaa, kumbukumbu sijui na drivers mnawaelewa kwanini pengine yameletwa huku naona ni usumbufu pdf ndefu mpaka inaboa

Mbona kama utumishi wanajipa makazi mengi na kuongeza ucheleweshaji wa uchakataji maana naona haitakuwa rahisi kufanya kwa haraka halmashauri zote izoo
 
Wao wameona wanaweza kufanya hivyo na wakazimudu, hofu yako nini? Kwani sekretarieti ya ajira iliundwa kushughulikia watu Gani?
 
Back
Top Bottom