No SQL
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 7,063
- 12,563
Hata acc hana..Kumbe hata oral hajapiga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata acc hana..Kumbe hata oral hajapiga
Ninayo mkuu usinisimange🤣🤣🤣 dg alibiiwa simu kapoteza email na password hajui kila nikimuingizia nida ake inasema ishatumika ina maana alikua na akaunt hapo awali ndio msaada kwenu wakongwe tusaidiane ku solve hiliHata acc hana..
Haina noma tukomae tu mkuuNinayo mkuu usinisimange🤣🤣🤣 dg alibiiwa simu kapoteza email na password hajui kila nikimuingizia nida ake inasema ishatumika ina maana alikua na akaunt hapo awali ndio msaada kwenu wakongwe tusaidiane ku solve hili
Pouwa mkuu naona yanga kapigwa 6 huko na AugsburgHaina noma tukomae tu mkuu
Badilisha tv yako hyo🤣🤣🤣Pouwa mkuu naona yanga kapigwa 6 huko na Augsburg
Mkuuu ao jamaaa wengine tumeomba tuna 30 na miezii Sasa mpaka wanaitaa si tutakuaaa tushavukaaa khaaaahInterview hawait jmn,tanapa mwez wa 5 iuu.
Wapigie Simu ajira portal watakusaidiaWakuu samahani naomba msaada naweza pata vip email na password niliibiwa simu na computer way back 2022 inawezekana nilikua na akaunt ajira portal lkn nimesahau kila kitu na 2023 nilifungua email mpya. Sasa napataje ile ya zaman ambayo nilijisajilia ajira portal????
Hongera sana mkuuHatimaye jina langu limeonekana leo, Glory to God! Kweli kila mtu wakati wake unakuja, tusikate tamaa wakuu (yusto_em)
Asante mkuuHongera sana mkuu
Hongera sanaHatimaye jina langu limeonekana leo, Glory to God! Kweli kila mtu wakati wake unakuja, tusikate tamaa wakuu (yusto_em)
Hongera sana kaka nasi twajaaa🙏Hatimaye jina langu limeonekana leo, Glory to God! Kweli kila mtu wakati wake unakuja, tusikate tamaa wakuu (yusto_em)
Narudia Mimi nilikosa na bado Naumia asee hadi leo wamapata wanabana pua saivi shukuruni Mungu kwakidogo mnacho patahuujui