Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

WAKUU MSAADA KUNA CHUO KIMOJA CHA AFYA KIMESHIKILIA CHETI CHA FORM 4 CHA RAFIKI YANGU YEYE KAMALIZA MWAKA 2021 DIGRII YA UALIMU HATAKUOMBA KAZI KASHINDWA HANA SOFT COPY NA HATA ANGEKUA NAYO ASINGEKUA NA ORIGINAL YA KWENDA NAYO KWENYE USAILI, HICHO CHUO KINATAKA KULIPWA LAKI 4 NA JAMAA ALIOMBWA CHETI NA WATU WA CHUO KWAAJILI YA KUFANYA UHAKIKI TU NECTA LAKINI NDO WAMEKISHIKILIA HADI SASA HAWATAKI KURUDISHA ADA YA SEMESTER NI 750000 JAMAA ALILIPA 350000 NA ALISOMA MWEZI NA NUSU ALIACHA KUTOKA HAKUNA NA ADA NA PIA HATA MITIHANI YA SEMESTER ALIZUILIWA ASIFANYE PIA
Hapa muhusika ni wewe mtoa mada usisingizie rafiki yako, Vyuo vya private havina mbambambaa ukizingua navyo vinakuzingua,hapo hakuna namna lazima ulipe pesa yao hiyo laki 4
Sio wewe tu wengi wanafanyiwa hivyo ndugu mwalimu

Vipi ulichoka kusubiri kazi za ualimu ukaona ukasome u nesi??

Kila lakheri ila pole sana maana nafasi za ualimu deadline ishapita kitambo
Pambana uchukue cheti chako uanze kuomba utumishi nafasi zinazoendana na taaluma ya education
 
Asante kwa ushauri lakini mm nmemalza chuo mwaka huu, kazi nayofukuzia tutorial assistant nkikosa natafuta scholarship ulaya
 
WAKUU MSAADA KUNA CHUO KIMOJA CHA AFYA KIMESHIKILIA CHETI CHA FORM 4 CHA RAFIKI YANGU YEYE KAMALIZA MWAKA 2021 DIGRII YA UALIMU HATAKUOMBA KAZI KASHINDWA HANA SOFT COPY NA HATA ANGEKUA NAYO ASINGEKUA NA ORIGINAL YA KWENDA NAYO KWENYE USAILI, HICHO CHUO KINATAKA KULIPWA LAKI 4 NA JAMAA ALIOMBWA CHETI NA WATU WA CHUO KWAAJILI YA KUFANYA UHAKIKI TU NECTA LAKINI NDO WAMEKISHIKILIA HADI SASA HAWATAKI KURUDISHA ADA YA SEMESTER NI 750000 JAMAA ALILIPA 350000 NA ALISOMA MWEZI NA NUSU ALIACHA KUTOKA HAKUNA NA ADA NA PIA HATA MITIHANI YA SEMESTER ALIZUILIWA ASIFANYE PIA
Kama alisajiliwa na analipa hiyo nusu ya Ada anatakiwa amalizie Tu laki nne achukue cheti.

Sema Unaficha vitu vingi hadi unashindwa kusaidiwa ilikuaje original certificate ikawa kwa Chuo maana si inakaa kwa mwanafunzi?

Je alimaliza Hata semester moja au aliishia njiani?

Kingine makubaliano yalikuwa ni yapi Kati ya yeye na chuo?
 
SEMESTER HAKUMALIZA, NA KATIKA KUWAPA CHETI WALISEMA WANAKITAKA KWAAJILI YA UHAKIKI TU necta
 
Sasa semister Hakumaliza Halfu kuwapa cheti kipi tena mzee.

Kweli Uhakiki unafanyika Nacte ila ni kwa njia ya mfumo tena Mtu unarudishiwa cheti mapema tu.

Najiuliza kwanini walibaki nacho,bila yeye kuchukua.

Ina maana aliacha chuo bila taarifa.
 
Sasa hiyo TA unaifuatiliaje bila Cheti aisee Mungu awatie nguvu graduate umemaliza mwaka huu halfu unaongea kwa ujasiri kazi naifukuzia TA ngoja Tusikuambe chochote endelea kujipa muda.
NDO kazi nayoitaka sijasema naomba kwasasa hyo kazi kwamaana ya kwamba nkipata cheti ntaomba TA nikiwa sina bahati ya kupata ntapambana na scholarship tu. PIA NAJUA KAZI NAWEZA PATA NI YAKUJTOLEA TU KWASASA MASHULEN
 
Sasa semister Hakumaliza Halfu kuwapa cheti kipi tena mzee.

Kweli Uhakiki unafanyika Nacte ila ni kwa njia ya mfumo tena Mtu unarudishiwa cheti mapema tu.

Najiuliza kwanini walibaki nacho,bila yeye kuchukua.

Ina maana aliacha chuo bila taarifa.
Alvoshndwa kuendelea alvodai cheti wakagoma kumpa wakasema mpaka alipe ndo apewe cheti chake na mitihani ya semester walikataa asifanye
 
Sasa mtihani wa semester wa nini wakati alishaacha chuo.?

Kama alifika hadi mwisho wa semester kiuhalisia Anatakiwa alipe tu haitahusiana umeacha au unaendelea.

Kuchukua cheti chake haijakaa kisheria.

Ila jamaa yako hakiitafuta sheria itamuonyesha ilivyo?
 
Kwahyo alipe tu? je akfungua kesi na bush lawyer mmoja itakuaje?
 
cheti kushikiliwa ni kosa kisheria,ila nawe lipa pesa ya watu kwanza...pia inakuwaje uwe na cheti cha kumaliza chuo wkt hujalipa deni lao?
 
Kasema huyo Mdau ambaye cheti cha Olevel kinashikiliwa ni Mwalimu mwenye degree.

Inaonekana alipomaliza kusoma ualimu na kitaa ramani ikawa haisomeki akamaua kurudi kusoma Nursing chuo cha Private.

Alipojisajili akalipa ada kidogo(350k) ikabaki deni la 400k ili iwe jumla ya 750k(ada kwa semister).

Alisoma kidogo kwa mwezi mmoja akaona kupata ada(400k) ya kumalizia kulipa pakawa hapasomeki, akaamua kuacha.

Chuo walipoona ameamua kuacha ndipo wakaamu kushikilia cheti(hapa sijui aliwapa vipi ilihali tayari alikuwa kashaacha masomo) ambapo walimdanganya kuwa kinahitajika ili kikahakikiwe NECTA, baada ya chup kikapata cheti ndipo ikawa lazima kikombolewe na ile 400k aliyopaswa kuilipa kukamilisha malipo ya Ada ya Semister.

Hivi ndivyo nilivyoelewa hiyo scenario.

Sasa jamaa anataka aombe kazi kwa taaluma ya Ualimu lakini tatizo cheti cha Olevel kimeshikiliwa na hana soft copy yake.
 
Kaka Mwifa una ushauri gan hii scnerio?
 
Nashindwa kuelewe ni vipi alidanganywa hadi akawapa cheti ili kishikiliwe ilihali tayari alikuwa kashaacha masomo.
Ila maelezo ya ndugu yake hayajajitosheleza kuna sehemu kasema amesoma mwezi mmoja hapo hapo kuna sehemu kasema hata mtihani wa semester Hawakumruhusu kufanya
 
Back
Top Bottom