Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 2,733
- 3,561
Hapa muhusika ni wewe mtoa mada usisingizie rafiki yako, Vyuo vya private havina mbambambaa ukizingua navyo vinakuzingua,hapo hakuna namna lazima ulipe pesa yao hiyo laki 4WAKUU MSAADA KUNA CHUO KIMOJA CHA AFYA KIMESHIKILIA CHETI CHA FORM 4 CHA RAFIKI YANGU YEYE KAMALIZA MWAKA 2021 DIGRII YA UALIMU HATAKUOMBA KAZI KASHINDWA HANA SOFT COPY NA HATA ANGEKUA NAYO ASINGEKUA NA ORIGINAL YA KWENDA NAYO KWENYE USAILI, HICHO CHUO KINATAKA KULIPWA LAKI 4 NA JAMAA ALIOMBWA CHETI NA WATU WA CHUO KWAAJILI YA KUFANYA UHAKIKI TU NECTA LAKINI NDO WAMEKISHIKILIA HADI SASA HAWATAKI KURUDISHA ADA YA SEMESTER NI 750000 JAMAA ALILIPA 350000 NA ALISOMA MWEZI NA NUSU ALIACHA KUTOKA HAKUNA NA ADA NA PIA HATA MITIHANI YA SEMESTER ALIZUILIWA ASIFANYE PIA
Sio wewe tu wengi wanafanyiwa hivyo ndugu mwalimu
Vipi ulichoka kusubiri kazi za ualimu ukaona ukasome u nesi??
Kila lakheri ila pole sana maana nafasi za ualimu deadline ishapita kitambo
Pambana uchukue cheti chako uanze kuomba utumishi nafasi zinazoendana na taaluma ya education