Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,815
- 2,651
Sawa mkuuHongera kwa kuapply ila usiache kuhudhuria usaili kama ambavyo umesema uhendi tarehe 24
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuHongera kwa kuapply ila usiache kuhudhuria usaili kama ambavyo umesema uhendi tarehe 24
Tangazo limesema lugha 2 kiswahili na english kaka wewe wazaTangazo la kazi la kingereza umeandika barua ya kiswahili ya nini? I mean sio sheria lakini ni sawa na mtu akusalimie good morning halafu umjibu salama mzima??
Na nimeitwa interview mkuuTangazo la kazi la kingereza umeandika barua ya kiswahili ya nini? I mean sio sheria lakini ni sawa na mtu akusalimie good morning halafu umjibu salama mzima??
Ni ticket nisha book mkuu saiv nakula msuli tuHongera kwa kuapply ila usiache kuhudhuria usaili kama ambavyo umesema uhendi tarehe 24
NIT n cha serikaliHivi NIT ni chuo cha serikali au binafsi mkuu naona kuna recieved nyingine inaelea pande zile mwaka huu watatuua
Qudadeq hapo kuna haja ya kutafuta ndugu wa kambo hata kama hayupo au nikagongee hosteli za Bed gucoTufanye mfano received zote hizo zimefatana kwa mpangilio mzuri,
mfano usaili wa kwanza n trh 1 & 2 Septemba, halafu usaili wa pili n trh 3 & 4 Septemba, halafu usaili wa tatu n trh 5 & 6 Septemba na kuendelea. Hapo andaa sio chini ya 800k na pesa nyingi italika kwenye guest house mana hapo utalala kwa siku kama 20×30000 = 600k Ila kuna baadhi wanatoa discount kama utalala zaidi ya wiki.
Pia inaweza kufika 1M 😂
Kama ndio saili zimegongana siku moja, bc kubali kupoteza zingine japokuwa wana utaratibu wa kuwawezesha wale wenye saili zaidi ya moja ila hy yako ya received 11 cjui itakuaje.
Aisee kama ni cha gavoo hii recieved siwezi kuiacha niridhan ni private japo sikuwa na uhakikaNIT n cha serikali
Na uombe Mungu usaili zifuatane vzr ila n jambo lisilowezekana aiseee, hapo pambana kwa washikaji upate ht room Kwenye hostel Za Chuo. Ila Usaili 11 aisee sidhan kama utazipiga zote..Qudadeq hapo kuna haja ya kutafuta ndugu wa kambo hata kama hayupo au nikagongee hosteli za Bed guco
Mkuu kwa bajet hiyo najikuta naenda mara moja tu nikienda sirudi tena
H nahisi wanaweza kufanya hapo hapo DarAisee kama ni cha gavoo hii recieved siwezi kuiacha niridhan ni private japo sikuwa na uhakika
Hii ndio inaitwa mtaka yote hukosa yote mwaka huu wameamua kutuchanganyaNa uombe Mungu usaili zifuatane vzr ila n jambo lisilowezekana aiseee, hapo pambana kwa washikaji upate ht room Kwenye hostel Za Chuo. Ila Usaili 11 aisee sidhan kama utazipiga zote..
Ikiwa hivyo itakuwa poa sanaH nahisi wanaweza kufanya hapo hapo Dar
Kwani nauli dar to dom unajua kiasi gani?Mkuu upo serious?
Hapo anza kuchagua za kufanya mapema tuu ili ujiandae afu zngn potezea.Hii ndio inaitwa mtaka yote hukosa yote mwaka huu wameamua kutuchanganya
Halafu ukute received 12 unatoka kapa aisee Mungu atuhurumieHapo anza kuchagua za kufanya mapema tuu ili ujiandae afu zngn potezea.
Na usishangae ukafanya hy ya NIT kama itafanyika Dar afu ukazikosa nyngn kadhaa
😀😀 kweli kuku mgeni hakosi kamba mguuni yaani unahisi taasisi za private nazo mchakato wake wa ajira huko utumishi ?Aisee kama ni cha gavoo hii recieved siwezi kuiacha niridhan ni private japo sikuwa na uhakika
Saili zinapishana sana una uhakika mkuu?Kwani nauli dar to dom unajua kiasi gani?
Bado hujala na kulala lak lazima ipotee😀😀
Ushauri wangu kwako usiwaze hela kwa sasa na hakuna maandalizi ya mkupuo kama ulivouliza hizi saili zinapishana sana so hutoona maumivu ya nauli😀
HongeraNi ticket nisha book mkuu saiv nakula msuli tu
N bc tuu private hawajawahi kupitia utumishi kupata wafanyakazi wake ila kwenye muongozo wa utumishi n hata mashirika ya private wanaweza kuwatumia utumishi.😀😀 kweli kuku mgeni hakosi kamba mguuni yaani unahisi taasisi za private nazo mchakato wake wa ajira huko utumishi ?
Tusibishane maana inategemeana received zake zimekaajeSaili zinapishana sana una uhakika mkuu?
Ulishawahi kusoma pdf ndefu ya interview na kuziona zilivyo ratiba yake?
Mm nna uhakika, kati ya hizo received 11 sidhan kama ataweza kufanya saili zaidi ya 4 kujumlisha na hy ya NIT kama itafanyika Dar.
Mm ikinitokea hy aisee nitarudi kijijini waliozaliwa wazazi wangu nikalambe mchanga mana sio jambo la kuchekea hilo 😂Halafu ukute received 12 unatoka kapa aisee Mungu atuhurumie
Ah sasa hapo c unaona zimetoka kwa wakati tofauti au ww ulielewa nn?Tusibishane maana inategemeana received zake zimekaaje
Kwa mfano mm ninazo 12 ila zingine nilianza apply wa 5 ipo wa 6,iko wa 7 na sasa wa 8
Kwa uzoefu wangu wa kuhudhuria usalii haziji mwezi mmoja au wiki mmoja
Ahsante