Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Tangazo la kazi la kingereza umeandika barua ya kiswahili ya nini? I mean sio sheria lakini ni sawa na mtu akusalimie good morning halafu umjibu salama mzima??​
Tangazo limesema lugha 2 kiswahili na english kaka wewe waza
Tangazo la kazi la kingereza umeandika barua ya kiswahili ya nini? I mean sio sheria lakini ni sawa na mtu akusalimie good morning halafu umjibu salama mzima??​
Na nimeitwa interview mkuu
 
Tufanye mfano received zote hizo zimefatana kwa mpangilio mzuri,
mfano usaili wa kwanza n trh 1 & 2 Septemba, halafu usaili wa pili n trh 3 & 4 Septemba, halafu usaili wa tatu n trh 5 & 6 Septemba na kuendelea. Hapo andaa sio chini ya 800k na pesa nyingi italika kwenye guest house mana hapo utalala kwa siku kama 20×30000 = 600k Ila kuna baadhi wanatoa discount kama utalala zaidi ya wiki.

Pia inaweza kufika 1M 😂

Kama ndio saili zimegongana siku moja, bc kubali kupoteza zingine japokuwa wana utaratibu wa kuwawezesha wale wenye saili zaidi ya moja ila hy yako ya received 11 cjui itakuaje.
Qudadeq hapo kuna haja ya kutafuta ndugu wa kambo hata kama hayupo au nikagongee hosteli za Bed guco

Mkuu kwa bajet hiyo najikuta naenda mara moja tu nikienda sirudi tena
 
Na uombe Mungu usaili zifuatane vzr ila n jambo lisilowezekana aiseee, hapo pambana kwa washikaji upate ht room Kwenye hostel Za Chuo. Ila Usaili 11 aisee sidhan kama utazipiga zote..
 
Hii ndio inaitwa mtaka yote hukosa yote mwaka huu wameamua kutuchanganya
 
Kwani nauli dar to dom unajua kiasi gani?
Bado hujala na kulala lak lazima ipotee😀😀
Ushauri wangu kwako usiwaze hela kwa sasa na hakuna maandalizi ya mkupuo kama ulivouliza hizi saili zinapishana sana so hutoona maumivu ya nauli😀
Saili zinapishana sana una uhakika mkuu?
Ulishawahi kusoma pdf ndefu ya interview na kuziona zilivyo ratiba yake?
Mm nna uhakika, kati ya hizo received 11 sidhan kama ataweza kufanya saili zaidi ya 4 kujumlisha na hy ya NIT kama itafanyika Dar.
 
Tusibishane maana inategemeana received zake zimekaaje
Kama ni za taasisi moja sitobisha anaweza fanya kwa pamoja

Kwa mfano mm ninazo 12 ila zingine nilianza apply wa 5 ipo wa 6,iko wa 7 na sasa wa 8
Kwa uzoefu wangu wa kuhudhuria usalii haziji mwezi mmoja au wiki mmoja
Ahsante
 
Tusibishane maana inategemeana received zake zimekaaje

Kwa mfano mm ninazo 12 ila zingine nilianza apply wa 5 ipo wa 6,iko wa 7 na sasa wa 8
Kwa uzoefu wangu wa kuhudhuria usalii haziji mwezi mmoja au wiki mmoja
Ahsante
Ah sasa hapo c unaona zimetoka kwa wakati tofauti au ww ulielewa nn?

Tufanye received zote 12 zimetoka ndani ya pdf moja hapo unadhani itakuwaje?
 
Back
Top Bottom