Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 2,582
- 4,554
Hapa sawa ulifanya kuzunguuka sanaSawa, Open University of Tanzania (OUT). ni chuo kikuu Cha Serikali pia.
Hili ndilo lilikuwa swali lako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa sawa ulifanya kuzunguuka sanaSawa, Open University of Tanzania (OUT). ni chuo kikuu Cha Serikali pia.
Hili ndilo lilikuwa swali lako
Achana nae hamna shule hapo😂😂🤣Faculty Tena
Anachouliza ni kuona naulizia OUT haliyakuwa wametoa ajira kwa kigezo cha masters kwaiyo anataka kuthibitishaAchana nae hamna shule hapo😂😂🤣
Wametoa pia kwa kigezo Cha Bachelor Mkuu.Anachouliza ni kuona naulizia OUT haliyakuwa wametoa ajira kwa kigezo cha masters kwaiyo anataka kuthibitisha
Ila mkuu usiwe mrahisi kuamini kuwa na elimu ni kujua kila kitu sivyo ilivyo
Nisamehe mkuu sikujua hilo ila TEKU nacho ni chuo na kimesajiliwaWametoa pia kwa kigezo Cha Bachelor Mkuu.
Unaishi TZ ndani ndani au.
Au umesoma chuo cha TEKU?
Mwanangu unafuatilia pdf ebu status zako zinasemaje kwanzaDah na leo tena panga....kunani pale
Kwa taarifa ya jinsi hii system ilivyo ni kuwa, written interview (online) ni multiple questions, maswali 40 (Kwa maana Hadi Sasa waliokwisha Fanya Kwa kada mbalimbali), ni mfumo wa ku click jibu sahihi wewe na mouse yako tu. Huruhusiwi kubonyeza popote pale nje ya sura ya mtihani baada ya kuanza huo mtihani yaani ni ww na mouse yako ya kuchagua majibu.Hivi usaili wa online huwa unafanyikaje wakuu? Binafsi sijawahi Kufanya online interview.
selected for oral ninayo moja tu...Mwanangu unafuatilia pdf ebu status zako zinasemaje kwanza
Ebu angalia kote kwenye app na web Afu lete mrejesho, Afu usiache kufanya Saili utumishi hawachelewi kukusuprise .selected for oral ninayo moja tu..
zote ni hivyo hivyo, pdf nazo zinasaidia kupunguza watu kwenye DB...watoe bana😀😀Ebu angalia kote kwenye app na web Afu lete mrejesho, Afu usiache kufanya Saili utumishi hawachelewi kukusuprise .

Dah we acha tu...na hv taaluma zetu anatoka mmoja mmoja...majobless wenzangu hakika tutajamba cheche na kunya![]()
yaani mtu unaumia hadi unazoea 🤣 🤣 alafu unaumia tenaDah we acha tu...na hv taaluma zetu anatoka mmoja mmoja...
Ila tutapata tu...ngoja tukomaeyaani mtu unaumia hadi unazoea 🤣 🤣 alafu unaumia tena
Mkuuu anazungumzia faculty kweli !!!Anachouliza ni kuona naulizia OUT haliyakuwa wametoa ajira kwa kigezo cha masters kwaiyo anataka kuthibitisha
Ila mkuu usiwe mrahisi kuamini kuwa na elimu ni kujua kila kitu sivyo ilivyo
Mkuu kwaiyo hata chuo huria (OUT) ni cha serikali?
Mkuu wengine tumesoma tu tumaliza madarasa ila habari za elimu hata hatufuatilii kivile
Kuna recieved nyingi nimeacha kwa kuhisi ni private wataka uniambie kila nafasi inayotangazwa na utumishi ni ya gavoo ko hamna za private!
Kwahyo walosoma vyuo vngne hawajui e-learning? elimu ya TANZANIA ukitoa muhas vyuo vngne vyote elmu sawa vnatofautiana majengo makali na idadi ya watuHuu mfumo kwa sisi tuliosoma mzumbe tunaelewa E-learning sio poa unaweza ukajikuta test unapata 0.5/15 uchungu wake unakuta upo swali la kumi alafu dadika zimeisha Test ina ji submit yenyewe kikubwa kuwa fasta kwenye kujibu maswali kwa umakini na haraka
Mkuu ukipewa kitengo cha ukandaji wasailiwa wote watatoka na 0.01/20 aminiMkuuu anazungumzia faculty kweli !!!