Mademoiselle
JF-Expert Member
- Jul 11, 2022
- 704
- 2,842
Nakwambiaje, utakuja kusema tu. Muda ukifika ni mambo yanaenda straight, no kona konahivi nyie mlipatajepataje mbona mbinde hivi jamani au mlioga dawa khaa 🤣 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakwambiaje, utakuja kusema tu. Muda ukifika ni mambo yanaenda straight, no kona konahivi nyie mlipatajepataje mbona mbinde hivi jamani au mlioga dawa khaa 🤣 🤣
baada ya written ukifaulu kwenda oral ile status ya kuwa shortlisted for written interview inakuwa selected for oral interview. sasa ukishafanya oral huwa inabaki hivyohivyo ilivyo ikitokea imebadilika tena kua not selected for oral interview ujue nyoyaaaaaaaaaa...status ilibadilika kvp mkuu
mmh haya bwana ngoja tuendelee kuchoma mabando 🤣 🤣Nakwambiaje, utakuja kusema tu. Muda ukifika ni mambo yanaenda straight, no kona kona
Kwahy unaweza kufanya oral afu baada ya siku kadhaa ukakuta umeandikiwa not selected for oral?baada ya written ukifaulu kwenda oral ile status ya kuwa shortlisted for written interview inakuwa selected for oral interview. sasa ukishafanya oral huwa inabaki hivyohivyo ilivyo ikitokea imebadilika tena kua not selected for oral interview ujue nyoyaaaaaaaaaa...
Mm mwenyew nimepata.mkuu ile barua naisoma mara kwa mara na nimeipiga picha kabisa yaan najizuia sana kuipost nafsi na hisia zinapambana sanaKuna mshikaji wangu wa kitambo leo kwenye wasap status yake amepost video ya barua ya kuitwa kazini ya trh 2 Agosti, dah kumbe ile barua ndo nzuri vile 😂
Mm pia hongera nyingi mda huo nipo busy na majukumu yangu ya Kila sikuHata mimi, sikuwa nimeingia mtandaoni muda kweli. Nakuja kushika simu napigiwa na watu kunipongeza. Ikifika siku unatafutwa wewe kupongezwa. El marabiosh na Utawala2025 msivunjike mioyo. Mtapigiwa simu na watu kuwapongeza. Nina uhakika na hili.
Nafsi inataka uipost ila hisia zinakuambia acha kiherehere 😂Mm mwenyew nimepata.mkuu ile barua naisoma mara kwa mara na nimeipiga picha kabisa yaan najizuia sana kuipost nafsi na hisia zinapambana sana
Kabisa mkuu kama Kuna vijana na wenzangu humu wanaomba wasikate tamaa mm nimehudhulia nne zote sijawahi fika oral ila hii ya nne ndio nikafika oral nikaomba sana nankutaman niingie kwenye database hatimae ikawa na juzi tu hapa nimeitwa kazinNafsi inataka uipost ila hisia zinakuambia acha kiherehere 😂
Yote ya yote ni furaha ya kupata kazi tuu 💪
💪Kabisa mkuu kama Kuna vijana na wenzangu humu wanaomba wasikate tamaa mm nimehudhulia nne zote sijawahi fika oral ila hii ya nne ndio nikafika oral nikaomba sana nankutaman niingie kwenye database hatimae ikawa na juzi tu hapa nimeitwa kazin
Alafu ngumu au ugumu upo written but oral ukifika kwenye ile pannel wengi sio wataalamu wa fan yako wao wanauliza maswali yaliyoandaliwa hivyo ukijibu wanaweka vema , swali la kwanza ni tell us about ur background
Kitu kingine nao wanajua hujui kingereza hivyo usijari ww jiamini jibu but usiwe na over confidence coz nao wanajua hujui lugha hata wao pia wanauliza short and clear coz lugha ni ngumu
Unanikumbusha machungu 🤣 🤣 🤣baada ya written ukifaulu kwenda oral ile status ya kuwa shortlisted for written interview inakuwa selected for oral interview. sasa ukishafanya oral huwa inabaki hivyohivyo ilivyo ikitokea imebadilika tena kua not selected for oral interview ujue nyoyaaaaaaaaaa...
yaah mbona wengi tu imewatokea.Kwahy unaweza kufanya oral afu baada ya siku kadhaa ukakuta umeandikiwa not selected for oral?
vipi walikuchomesha nauli nini 🤣 🤣Unanikumbusha machungu 🤣 🤣 🤣
Sasa ipi sababu ya kuwa hvy mana selected for oral maana yake n kwamba umefaulu written hvy unaruhusiwa kufanya oral.yaah mbona wengi tu imewatokea.
Hii nimekutana nayo oral ya May mwaka huu kama ilivo[emoji419][emoji419]Kwanza kabisa swali la kwanza Tell us about your education background
2. Swali la pili duties zako zile lakini hawakuulizi direct huwa wanaanza tofauti kidogo unaweza usielewe kama wanataka duties zile Kwahiyo kuwa makini usipaniki
3.Swali la tatu ujuwe challenge za kazi yako na hapa wewe ndo inabidi uoneshe unajua sasa na jinsi yakuzisolve hizo challenge
4.kuanzia la nne sasa hayo ni technical questions zinabase kwenye zile duties Kwahiyo isome kila duties uelewe inavyofanyika na kingine soma notes za course yako
Nadhani mpaka hapa mzee ukipita humu basi jiandae tu kwenda kuchukua barua
Hebu jaribu kuyafata haya yanaweza kukusaidia
Mungu ni mwema..Nliitwa kazini 2nd AugustJamani wale wa Oral...piteni humu
Mpaka leo huwa siamini ani ila ngoja niendeleze mapambano wadau waliniambia umu nikawa mbishivipi walikuchomesha nauli nini 🤣 🤣
Hua Nashindwa kuelewa mnaposema khs matokeo ya kwenye web na app, kwan matokeo c n ya aina moja sasa kwann kuwe na utofauti kati ya web na app. Mfano umepata 70% c inatakiwa kuwa hvy kwenye web na app au?Mpaka leo huwa siamini ani ila ngoja niendeleze mapambano wadau waliniambia umu nikawa mbishi
Cause kwenye web selected for oral
App not selected
Ukiona ivyo jipange upya
Yaani ipo ivi kuna app ya psrs ipo play store ile ndo naona ipo na ukweli wa kila kitu juu ya status yakoHua Nashindwa kuelewa mnaposema khs matokeo ya kwenye web na app, kwan matokeo c n ya aina moja sasa kwann kuwe na utofauti kati ya web na app. Mfano umepata 70% c inatakiwa kuwa hvy kwenye web na app au?
Duh em ngoja niipakue hy nione yaliyomo mana sijawahi kuitumia, mm hua natumia web tuuYaani ipo ivi kuna app ya psrs ipo play store ile ndo naona ipo na ukweli wa kila kitu juu ya status yako
Afu kuna web yenyewe haibadiliki kitu.
28th au 29th May 🤔Hii nimekutana nayo oral ya May mwaka huu kama ilivo[emoji419][emoji419]Mungu ni mwema..Nliitwa kazini 2nd August
Hongera sana mkuu. Ukawe a better version of yourselfHii nimekutana nayo oral ya May mwaka huu kama ilivo[emoji419][emoji419]Mungu ni mwema..Nliitwa kazini 2nd August