Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

baada ya written ukifaulu kwenda oral ile status ya kuwa shortlisted for written interview inakuwa selected for oral interview. sasa ukishafanya oral huwa inabaki hivyohivyo ilivyo ikitokea imebadilika tena kua not selected for oral interview ujue nyoyaaaaaaaaaa...
Kwahy unaweza kufanya oral afu baada ya siku kadhaa ukakuta umeandikiwa not selected for oral?
 
Nafsi inataka uipost ila hisia zinakuambia acha kiherehere 😂
Yote ya yote ni furaha ya kupata kazi tuu 💪
Kabisa mkuu kama Kuna vijana na wenzangu humu wanaomba wasikate tamaa mm nimehudhulia nne zote sijawahi fika oral ila hii ya nne ndio nikafika oral nikaomba sana nankutaman niingie kwenye database hatimae ikawa na juzi tu hapa nimeitwa kazin

Alafu ngumu au ugumu upo written but oral ukifika kwenye ile pannel wengi sio wataalamu wa fan yako wao wanauliza maswali yaliyoandaliwa hivyo ukijibu wanaweka vema , swali la kwanza ni tell us about ur background

Kitu kingine nao wanajua hujui kingereza hivyo usijari ww jiamini jibu but usiwe na over confidence coz nao wanajua hujui lugha hata wao pia wanauliza short and clear coz lugha ni ngumu
 
💪
 
baada ya written ukifaulu kwenda oral ile status ya kuwa shortlisted for written interview inakuwa selected for oral interview. sasa ukishafanya oral huwa inabaki hivyohivyo ilivyo ikitokea imebadilika tena kua not selected for oral interview ujue nyoyaaaaaaaaaa...
Unanikumbusha machungu 🤣 🤣 🤣
 
Kwanza kabisa swali la kwanza Tell us about your education background
2. Swali la pili duties zako zile lakini hawakuulizi direct huwa wanaanza tofauti kidogo unaweza usielewe kama wanataka duties zile Kwahiyo kuwa makini usipaniki
3.Swali la tatu ujuwe challenge za kazi yako na hapa wewe ndo inabidi uoneshe unajua sasa na jinsi yakuzisolve hizo challenge
4.kuanzia la nne sasa hayo ni technical questions zinabase kwenye zile duties Kwahiyo isome kila duties uelewe inavyofanyika na kingine soma notes za course yako
Nadhani mpaka hapa mzee ukipita humu basi jiandae tu kwenda kuchukua barua
Hebu jaribu kuyafata haya yanaweza kukusaidia
Hii nimekutana nayo oral ya May mwaka huu kama ilivo[emoji419][emoji419]
Jamani wale wa Oral...piteni humu
Mungu ni mwema..Nliitwa kazini 2nd August
 
Mpaka leo huwa siamini ani ila ngoja niendeleze mapambano wadau waliniambia umu nikawa mbishi

Cause kwenye web selected for oral
App not selected

Ukiona ivyo jipange upya
Hua Nashindwa kuelewa mnaposema khs matokeo ya kwenye web na app, kwan matokeo c n ya aina moja sasa kwann kuwe na utofauti kati ya web na app. Mfano umepata 70% c inatakiwa kuwa hvy kwenye web na app au?
 
Yaani ipo ivi kuna app ya psrs ipo play store ile ndo naona ipo na ukweli wa kila kitu juu ya status yako

Afu kuna web yenyewe haibadiliki kitu.
 
Back
Top Bottom