Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Yn mpaka watu wa afya na waalimu wamalize mambo yao, aisee sisi wngn tuwe wapole mpaka mwezi wa 11 ndio tutaanza kukumbukwa.
Na hapo n mpaka pdf za replacement za waalimu na watu wa afya zipite ndio na sisi tukumbukwe.
😂😂😂Aloooh mbona hatari hii
 
Shwaaaaah
PSRS instagram 2.jpg
 
KWA WALE WOTE WALIOOMBA AJIRA ZA UALIMU KATIKA MFUMO WA AJIRA PORTAL
________________________________
KUNA MABADILIKO MUHIMU YAMEFANYIKA
1. Wengi wamebadilishiwa mikoa ya kufanyiwa usaili na ndo mikoa itakayotumika kuwaajili.
2. Kama hujabadilishiwa mkoa na Bado panasoma MDAs & LGAs maana yake ni kwamba wewe hujapangiwa mkoa WA kwenda kufanya usajili, hivyo utaomba Ajira upya pindi zitakapotoka.
Ili kuona mabadiliko hayo , Fanya mambo/hatua zifuatazo
1. Ingia Ajira portal akaunt Yako ( )
2. Ingiza Email/username na Password Yako. Kisha bofya Login .
3. Kisha bofya sehemu ya My Application na utaona mwenendo WA maombi Yako ya Ajira
4. Angalia sehemu ya Job Title kipengere Cha Employer utaikuta kimefanyiwa mabadiliko na kuandikwa jina la mkoa ulilopangiwa kufanya interview , kama hakuna jina la mkoa ulilopangiwa inamaana kwamba Bado hujapangiwa sehemu pa kufanyia interview na huwenda hujakidhi vigezo ,hivyo utarazimika kufanya maombi mengine pindi Ajira zitakapotoka.
NB : Endelea kutembelea Akaunti Yako kila mara Ili kuona madailiko zaidi na siku na tarehe na kituonutakachopangiwa kwenda kufanyia interview
_______________________
Kila la kheli katika maombi Yako,

Hii ni kweli au wanazingua tu
 
Back
Top Bottom