Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,815
- 2,651
Ni fail mkuuEbu tupe feed back anachoongea mwamba apo cause na ww si ulikuwa kwenye iyo oral
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni fail mkuuEbu tupe feed back anachoongea mwamba apo cause na ww si ulikuwa kwenye iyo oral
Duh kwaiyo waliingia oral wanne inamaana wale watatu ndo hawatapata kabisa kupitia database kisa ipo not selected for oral dah ila wale wamepambana Sana lile nyomi kutoboa mpaka kufika oral wanne sio mchezoNi fail mkuu
Sawa huenda hawajafaulu kwaiyo ndo ata database hawatakuwepo wale watatu waliobaki??Inategemeana na ulifanya kwenye taasisi ipi kama ji LGAs&MDAs huwa aibadililiki hta kama umefnya orral itabaki hivyo selected for oral.ila kama umfanya hzi taasisi za kujitegemea mfano bunge na nyingine hzi , baada ya oral kma ujafaulu huwa zinaonyesha kabisa not selected . Maana yake ujafaul interview yao ya baadaa ya oral.
Naoongea hivi from experience ya interview yabinge juzi hapa
Asante!!Mpaka Sasa hivi haja-comfirm kwenda SUA agricultural engineering anasubiri Nin
Sawa MkuuKulingana na upepo wa Mikeka inayotoka kwa saa hivi Agricultural engineering wanakimbiza. Hatujui kwa miaka ijayo.
Ndio mkuu walitoboa watano ina maana wa nne wamebaki databaseDuh kwaiyo waliingia oral wanne inamaana wale watatu ndo hawatapata kabisa kupitia database kisa ipo not selected for oral dah ila wale wamepambana Sana lile nyomi kutoboa mpaka kufika oral wanne sio mchezo
Ngoja waje waliofanyaIv waliofanya usaili mahakama walishaitwa kuingia oral?
Sasa apo si Wana not selected wote wanne mwenye selected ni huyo pekee aliepata kazi ndo huwaga ilivo maana kwenye hizi taasisi mara nyingi kwenda oral huwaga watu wachache sana mara nyingi wanaopataga kazi kwenye status ndo Huwa Wana selected akikosa mmoja hapo ujue lazima aandikiwe not selected for oral tofauti na MDA and LGA ambapo huwaga nyomi la watu status kubadilika ina depend ila kwenye taasisi ndo unajua chapu tuNdio mkuu walitoboa watano ina maana wa nne wamebaki database
Na bunge uko wao hawana apps ni mwendo wa website, mapema unajijua uko upande ganSasa apo si Wana not selected wote wanne mwenye selected ni huyo pekee aliepata kazi ndo huwaga ilivo maana kwenye hizi taasisi mara nyingi kwenda oral huwaga watu wachache sana mara nyingi wanaopataga kazi kwenye status ndo Huwa Wana selected akikosa mmoja hapo ujue lazima aandikiwe not selected for oral tofauti na MDA and LGA ambapo huwaga nyomi la watu status kubadilika ina depend ila kwenye taasisi ndo unajua chapu tu
Na ndomana nikauliza kama hao wanne Wana not selected Ina maana wamefeli oral wote wanne???Na bunge uko wao hawana apps ni mwendo wa website, mapema unajijua uko upande gan
Mwalimu usipate tabu, kama umechinjwa huwa inaandika kwenye status, NOT SHORTLISTED. Pia utapata sababu kwa nini hujawa shortlisted. Issue za mikoa hazina tija, angalia tu status.Mikoa niliyoomba imefutika je ndiyo nimechinjwa au kada ualimu?
Kwann mkuuhivi hawa utumishi wako timamu kweli..
Easy kaka easy 😅😅hivi hawa utumishi wako timamu kweli..
anhaa unajifanya ujui 🤣 🤣Kwann mkuu
Wanaweza kutoa pdf na bado usiwepoanhaa unajifanya ujui 🤣 🤣
😅😅Ngoja tuone wakianza kutoa labda zinaweza kuwa nyingieasy nakati uzee unakuja🤣🤣
Ila bora matumaini yanaongezeka kuliko hivi hivi patupuWanaweza kutoa pdf na bado usiwepo