Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Pale kwenye Placement...ikikaribia kuandika 'currently no placement'..IT anaweka ki PDF😀😀😀
 
Kuna wanaoptia zaidi yako mkuu, jipe moyo, all shall be well. Kuna mshkaji wangu huwa yuko taasisi yenye asali kinoma jana amegundulika ana tatizo la kisukari na kilikua kimeshaanza kuharibu figo zake. Jamaa hana raha tena ya kuishi.


Ukiwa tu mzima wa afya, ni bonge moja la baraka mkuu.:MonkiFlip:
Mazoezi matize mpira mpira acheze wakati ana subili placements
 
Back
Top Bottom