Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamejua kutukomoautumishi wamesema mpaka tuchechemee 🤣 🤣 🤣
kwaaakweliMaisha inabidi yaendelee tu ,hamna namna
anaweka hata la watu wawili 🤣 🤣Pale kwenye Placement...ikikaribia kuandika 'currently no placement'..IT anaweka ki PDF😀😀😀
Pole wa nyumbani tujiandae kwenda migiro huu mwaka lazima uvae sutiMkuu inakatisha tamaa sana aisee sijui kama wote wanapitia kama mm
Trust the processPale kwenye Placement...ikikaribia kuandika 'currently no placement'..IT anaweka ki PDF😀😀😀
Hunishindi mimi mkuu, nadalalia hadi vijana kupata ajira. Wangejua navyokesha kwenye hili jukwaa. Wewe acha tuMimi mwenzenu nishakuwa dalali mkomavu mtaani sasa hivi
Hahaha 🤣 🤣 🤣 mkuu status zinasomaje kwakoHunishindi mimi mkuu, nadalalia hadi vijana kupata ajira. Wangejua navyokesha kwenye hili jukwaa. Wewe acha tu
Ndio nasikilizia michongo. Nina RECEIVED 10 na SELECTED FOR ORAL 1Hahaha 🤣 🤣 🤣 mkuu status zinasomaje kwako
Kumi😂😂Ndio nasikilizia michongo. Nina RECEIVED 10 na SELECTED FOR ORAL 1
Andaa nauli ya kutoshaNdio nasikilizia michongo. Nina RECEIVED 10 na SELECTED FOR ORAL 1
Big up utumishi ni kuwakanda tu Amna namnaNdio nasikilizia michongo. Nina RECEIVED 10 na SELECTED FOR ORAL 1
Kama Kawa tupia vimuli muli tupate vibekwema eehhh
Daah Received 10!😂Maskani ni Migiro nini maana sio kwa minauli hiyoNdio nasikilizia michongo. Nina RECEIVED 10 na SELECTED FOR ORAL 1
Aipungui 500kAndaa nauli ya kutosha
Plus bajeti ya mishangaz maana dodoma kuna baridiAipungui 500k
Mazoezi matize mpira mpira acheze wakati ana subili placementsKuna wanaoptia zaidi yako mkuu, jipe moyo, all shall be well. Kuna mshkaji wangu huwa yuko taasisi yenye asali kinoma jana amegundulika ana tatizo la kisukari na kilikua kimeshaanza kuharibu figo zake. Jamaa hana raha tena ya kuishi.
Ukiwa tu mzima wa afya, ni bonge moja la baraka mkuu.